Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Vipi hamjamaliza kufanya test ya barakoa zinazotoka nje, msirukie vitu vingine na kuacha viporo nyuma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu GUSSIE nashukuru kwa bandiko zuri. Naomba unitoe kidogo ujinga, hivi nini kinapelekwa kupimwa ili kubaini huyu MTU ameshambuliwa au hajaambuzwa Coronavirus? Naomba wataalam muliopo hapa JF mtutoe tongotongo.

Ahsante
Mkuu 'Mzalendo Mkweli', nianze kwa kusema kuwa natumai jina alako linaakisi hasa ulivyo.

Sampuli inayopimwa ni 'swab' - iliyokwanguliwa toka sehemu ya mwili kama mdomoni au puani kwa kutumia kitu kama kijiti kilichowekewa pamba, kama vile vya kuondolea 'wax' masikioni, lakini hivi ni maalum kwa kazi hiyo.

Sampuli hiyo ikishachukuliwa inawekwa kwenye kikusanyio maalum ili kuhifadhi isiharibike hadi hapo itakapofikishwa maabara na kupimwa.
Vipimo hivi havitumii damu damu ya mgonjwa.
 

Wewe utakuwa ni uzao wa Nyoka.
 
Kuna miaka fulani ya nyuma kidogo nilikuwa napenda kwenda bar fulani huko Dar,nakutana na wazee fulani wa Usalama. Hawa wazee asilimia 87 wamestaafu,na kwa sasa ndio naamini pale kwenye kampuni kuna mapungufu makubwa sana.
 
Siku zote meko anatakaga kuonekana yeye ni malaika huku akiwasulubu wenzake kulikuwa na haja gani ya kuambia wananchi huo utumbo wa sample za mapapai

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka visa vya COVID-19 kuanza kuripotiwa duniani ,visa vingi vingi vimekua vikihusisha binadamu huku visa vichache vikiripoti wanyama kama wahanga wa janga hili.

Lakini Leo tarehe 3 may 2020 kisa cha kwanza cha kustaajabisha kinachohusu COVID-19 kimeripotiwa nchini Tanzania.

Kwa mujibu wa Raisi mpendwa na kipenzi wetu, kisiki cha mpingo, mteule wa Mungu, jiwe kweli kweli toka chato,yeye atembeaye kifua mbele.
Kisa hichi kinamuhusisha moja Kwa moja Jabir Hamza ambaye ni oil chafu ya gari baada ya kupimwa na kugundulika ana virusi vya Corona hivyo kuwa kisa cha kwanza cha Corona kinachohusisha oil za magar duniani kote.

Asanteni.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okay tumekuelewa kaka mtaalamu,kwa hiyo tusiogope Corona maana ni ugonjwa wa kawaida tu hata Mbuzi na Papai wanao..

Au tuamini kwamba wataalamu wa Maabara ya Taifa wanatumiwa na mabeberu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwahiyo walipopeleka mafenesi yalitambuliwa ni sample gani kutoka mwilini. Ni kamasi, makohozi, machozi, choo, mkojo au kitu gani hasa.
Siku nyingine utawapa vipande vya mbao uwaambie ni sample za mifupa na wakubali.
Kuna mda sampuli huchukuliwa kwa kuingiza kifaa kinywani Hadi kwenye Koo, sijajua sampuli zingine huchukuliwa sehemu gani za mwili
 
Ahahhahahahahaa leo ndio kanichekesha ni kama ze comedy show huyu mzee anaongea huku haamini alichotamka yani ili mradi tu upoyoyo huu jamani hahahhaha.Cha msingi watu washampuuza saiz
ww mpuuzi
 
 

Wabunge wa kulaumu au vipimo. Wameomba uhakiki tu baada ya wenzao kufa kwa Corona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…