charty
JF-Expert Member
- Oct 28, 2013
- 7,460
- 5,992
Mungu atusaidie kwa kweli,Sa itakuaje kama Mbuzi wana korona[emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona umepanic sana brother.Kwani unapimwa damu na ujinga wako yanapimwa maji maji jinga weeh
Vipi hamjamaliza kufanya test ya barakoa zinazotoka nje, msirukie vitu vingine na kuacha viporo nyumaInawezekana hivi vipimo vya kuchukulia swab kwenye koo na pua vikawa na corona kabisa. Rais asipuuzwe kwenye hili utafiti ufanyike haraka tutaambikiza Corona wagonjwa wetu wakati wa kuwaingizia kile kipamba kwenye koo na pua. Nasimama na Rais katika hili mpaka hapo itakapokuwa vinginevyo.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]Inawezekana alipeleka ya kwake akaambiwa anacorona. Ikabiti atume ya mbuzi then papai na etc
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu 'Mzalendo Mkweli', nianze kwa kusema kuwa natumai jina alako linaakisi hasa ulivyo.Mkuu GUSSIE nashukuru kwa bandiko zuri. Naomba unitoe kidogo ujinga, hivi nini kinapelekwa kupimwa ili kubaini huyu MTU ameshambuliwa au hajaambuzwa Coronavirus? Naomba wataalam muliopo hapa JF mtutoe tongotongo.
Ahsante
Exactly,hii ndio point yake mkuu.Hii ni kama anataka kuaminisha kuwa zile data za ongezeko la maambukizi zilikosewa. Mengine yalikuwa mananasi tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Amekuuliza vizuri tu, huo utafiti upo kwenye jarida gani, tufuatilie?Wewe na rais nani mwenye access ya resources(technology na vifaa vya maabara) na rasilimali za watu wakutosha?
Tafiti upingwa kwa tafiti mkuu.
Kwani kila tafiti lazima liwekwe kwenye jarida?Amekuuliza vizuri tu, huo utafiti upo kwenye jarida gani, tufuatilie?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe utakuwa mpuuuzi kweli kweli, yani badala ya kumshangaaa rais unatoa ufafanuz wa kizembe hivyo? Kwa akiri ya kawaida huwezi fanya hiyo kitu bhana, ujue rais ni mtu Mkubwa Sana ndugu, kuanza kudili na mambo ambayo tulidili nayo tukiwa na miaka 7 , ujue labda hujaelewa ni kuwa yeye kakariri kuwa anachotaka ndio kiwe hata kwa nguvu ndio maaana kaona hakiwi katuma mapapai kwa kutoamini kuwa itakuwa anazungukwa na watendaji, sasa katika akiri ya kawaida nchi zingne zimeripoti hadi watu zaid ya milioni moja na laki Tatu wameambukizwa wewe wako Mia moja tu unasema hakuna huu ni uongo itakuwa mabeberu wamekuzunguka ktk akiri ya kawaida utakuwa hauko sawa maaana hata jirani yako Kenya ana kuzidi mbali Kwa maaambukizi wewe bado unasema kuwa utakuwa umezungukwa, swali linakuja je maaambukizi kwako yakiwa laki moja si ndio utachanganyikiwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
kina magufuli wapo wengi hata humu wapoSasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
Okay tumekuelewa kaka mtaalamu,kwa hiyo tusiogope Corona maana ni ugonjwa wa kawaida tu hata Mbuzi na Papai wanao..Acha kukariri nani kakuambia sampuli ya kupima covid 19 ni damu?
Sampuli inayotumika ni nasal swabs na si damu, ambapo majimaji huchukuliwa katika pua za mnyama kwa kutumia kitu kama pamba na kisha hupelekwa maabara kuchunguzwa kwa kutumia PCR...
Watanzania embu tujifunze ku reason kabla ya kuchangia mada, pia niwaase vijana tumieni muda wetu wa akiba kujifunza vitu vipya ambavyo vitawaongezea kitu katika bongo zenu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mda sampuli huchukuliwa kwa kuingiza kifaa kinywani Hadi kwenye Koo, sijajua sampuli zingine huchukuliwa sehemu gani za mwiliKwahiyo walipopeleka mafenesi yalitambuliwa ni sample gani kutoka mwilini. Ni kamasi, makohozi, machozi, choo, mkojo au kitu gani hasa.
Siku nyingine utawapa vipande vya mbao uwaambie ni sample za mifupa na wakubali.
ww mpuuziAhahhahahahahaa leo ndio kanichekesha ni kama ze comedy show huyu mzee anaongea huku haamini alichotamka yani ili mradi tu upoyoyo huu jamani hahahhaha.Cha msingi watu washampuuza saiz
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample za mimea na wanyama kwa kuzipa majina ya binadamu kwenye maabara kuu ya Taifa Dar es Salaam kwa siri bila wapimaji kufahamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona
Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana-science wake.
Je? Tatizo ni vipimo tulivyonavyo au Tatizo ni utalaamu wa watu wa maabara
Je?Ni nani alituuzia hivyo vifaa
Kwa hiyo nchi za Marekani,China na ulaya ni waongo kwa idadi za vifo wanavyotutangazia na yale mazishi ni maigizo
Je? Ni wakati wa kuacha kula mbuzi,mapapai na vyote vilivyoonyesha Positive
Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona.
Soma hapa > Kutoka Chato: Rais Magufuli amwapisha Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Katiba na Sheria - JamiiForums
[/QUO
Tujiulize tatizo ni wabunge kujali maisha yao au serikali yenyewe kusema vipimo vyao sio vya uhakika. Sasa je nani anajua kama bunge lipo salama