Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais ni mjanja sana, kwenye maziko ya jaji kulikuwa na utitiri wa watu na yeye wala hakuhudhuria kwenye huo msongamano ila kwenye kuapishwa kwa Mwigulu ambapo yeye yupo kuna watu wawili tu![emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Inawezekana akawa anasema kweli kwa sababu nchi nyingi zilizoendelea (uk ikiwa moja wapo) walikuwa hawana vifaa vya kupimia ugonjwa huu (corona kit) na walipoanza kuwa nazo walikuwa careful sana kutumia kupima kila anaeshukiwa kuwa na virus kwa sababu kits ni ghali sana. kila kit moja inawagharimu £200+. Kadhalika upimaji wa corona unafanywa kwa kuchua swab ndani ya mdomo wa mtu anaeshukiwa kuwa na ugonjwa na sio damu.

Nasikia maabara yetu wanapima ugonjwa huu kwa kuchukua damu tu!
Sasa Kama ni damu tu fenesi Lina damu? Hahahaahhahaha huyu jiwe huyu jiwe kaleta kichekesho Sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wana bodi Kama heading inavosema naomba kujua hili kutoka kwa wataalamu wa afya hizi sample za majiji ya Kooni zinazochukuliwa kwa binadamu kwa ajili ya kufanyiwa testing ya COVID-19 zinafanana na sample za majimaji ya Vitunguu, fenesi na mapapai?

Na ni kivipi tuhangaike kupima mapapai wakati dunia nzima wanahangaika kufanya mass testing na kuboresha huduma za afya?

Je ni kwamba habari za Corona Tanzania ni uongo?

Chukua hatua Corona ipo jilinde na uwalinde uwapandae.

Parabora
Geneva - Swistsland
2020

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuhusu watu kufa na kuzikwa usiku usiku hakusema?
 
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Rais Magufuli wametuma sample kwa kuzipa majina ya binadamu baada ya kupimwa zimetest positive yaani zina corona

Hapa ndipo Magufuli ameprove uwana science wake

Magufuli ameonyesha uwezo mkubwa na kushauri nchi zingine zijaribu kupima sample zingine za mimea na wanyama kwa kutumia vipimo vya corona
Nyie wafugaji mnachekesha saaaaana. Eti corona ipo kwenye mbuzi, beberu, kondoo na matunda. Kweli tumefika pabaya na tusirudie kosa hili.
 
Anaamini kua corona ipo na amekiri kabisa, sababu ya kupima mapapai, fenesi, mbuzi , kondoo n.k ni kujiridhisha ukweli wa majibu kutoka katika hivyo vifaa vya kupimia.

Umeshawaza kama je vipimo vya Corona were tested/intended kupima mapapai au matunda ? In that case are you even surprised matokeo ya vipimo vikija tofauti na matarajio? Vipimo
vya kupimia binadamu unapimia matunda na wanyama and you expect the same result really?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
tumeamua kujivua nguo wenyewe bila kujua, hii ni sawa na kui adress dunia kwamba Tanzania hatuna Maabara za kuaminika
Aisee tutachekwa mpaka tukimbie dunia hii, Hii ni aibu mno kuwa na mtu kama huyu jamani tunakwenda wapi?
 
Kwani wakenya ndio nani?

Mnapenda kusikia kwamba corona imeua mamia ya watanzania. Hicho kitu hakipo na msahau.

Corona is a bullshit disease. Kila mwenye akili timamu anajua hilo.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo maana hawatangazi now, sawa bwana mkubwa

Na wapimaji wafanye hizo test halafu watoe majibu kesho wafukuzwe kazi
 
Nasikia walipeleka sample za mapapai maabara ya taifa zikaonekana zina corona haahaaaa

Daaah hii nchi raha sana, yaan kila kona comedy
 
Ila bado nayafakari sipati majibu mh kasema walipeleka sample za mapapai na kondoo mbuzi etc bila wao kujua wataamu wamahabara!hivi kweli qualified laboratory technician washindwe ku distinguishe kati ya sample ya fenesi na binadamu kweli !

!wanafanya nini hapo maabara mpaka sasa kama ni kweli maana watatua sasa hao ndo best lab wetu wanchi kumbuka tumewapeleka training na kuwakabidhi roho za watanzania 55m

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

This dude seem to be so naive and ignorant!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Yan i have never seen a president ignorant like ours, people are dying he is watching on the sideline like a perv. WTF


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom