Habari wana JF,
Japo serikali yetu imekuwa ngumu sana kusikiliza ushauri wa wananchi wake juu ya kuchukua tahadhari madhubuti dhidi ya mlipuko wa Coronavirus, lakini sasa tetesi zinasema baada ya Rwanda kuchukua hatua, nasi tusubiri barua ya Gerson Msigwa ndani ya siku chache zijazo..
Ikumbukwe wananchi wameonesha wasiwasi juu ya hatua na hadhari ambayo serikali imekuwa inasema imeweka.
Wananchi wameomba wageni kutoka mataifa yaliyoathirika wakija wawekwe karantini, serikali imekataa. Mfano wale wazungu sita wa KIA waliachiwa tu.
Wananchi walisema ndege za nje zizuiwe, serikali imekataa.
Kwamba mikusanyo iwe regulated, serikali imekataa.
Kiufupi wanachi hawajasikilizwa ktk hili.
Ila kwa kuwa Rwanda ni rafiki yetu, subirini muone, tutafanya kama yeye.