Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

Rais Magufuli: Mpaka sasa Tanzania (Bara&Visiwani) hatuna mgonjwa wa Corona. Nawasihi watanzania kuchukua hadhari

Habari wana JF,

Japo serikali yetu imekuwa ngumu sana kusikiliza ushauri wa wananchi wake juu ya kuchukua tahadhari madhubuti dhidi ya mlipuko wa Coronavirus, lakini sasa tetesi zinasema baada ya Rwanda kuchukua hatua, nasi tusubiri barua ya Gerson Msigwa ndani ya siku chache zijazo..

Ikumbukwe wananchi wameonesha wasiwasi juu ya hatua na hadhari ambayo serikali imekuwa inasema imeweka.

Wananchi wameomba wageni kutoka mataifa yaliyoathirika wakija wawekwe karantini, serikali imekataa. Mfano wale wazungu sita wa KIA waliachiwa tu.

Wananchi walisema ndege za nje zizuiwe, serikali imekataa.

Kwamba mikusanyo iwe regulated, serikali imekataa.

Kiufupi wanachi hawajasikilizwa ktk hili.

Ila kwa kuwa Rwanda ni rafiki yetu, subirini muone, tutafanya kama yeye.
IMG_20200314_214307.jpg
 
Huko ni mguu pande mguu sawa wakisema hakuna kwenda kusali kanisani/msikitini kwa wiki 2 ndio imeshapitishwa hivyo hakuna kubishana wala kukohoa.

Huku hio amri ikitoka utashangaa mara ameibuka Gwajima kuunga mkono huku baraza la maaskofu likipinga na kutishia kutoa waraka.

Mara Bakwata iunge mkono hatua hiyo huku Sheikh Ponda akikataa hatua hio na kusema tunanyimwa uhuru wa kuabudu.

Inshort kutakua ni full ubishani mixer wanasiasa humo ndani,so acha tu tujiendee kimya kimya tu hivyo hivyo.
 
HUU ugonjwa unatibiwa na dawa gani
Umewaza parefu sana..hapa ndio mganga mkuu angekuja na majibu sio mambo ya kunawa vidole. Tunachukulia vitu kwa wepesi mno. Kuna kitu nakichukia kama kauli mbiu katika maradhi kuna hili suala la kulala kwenye chandarua kuzuia malaria baada ya kutoa muongozo jinsi ya kuua mazalia ya mbu na kuwatokomeza kabisa mbu. Ndio hili la corona kunawa mikono.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kakuambia haina dawa unajua maana ya mtu kuwekwa karantini?

Sent using Jamii Forums mobile app

We mpumbavu hata huku ulaya hatujawahi sikia sauti ya mganga mkuu. Wanaongea viongozi wa Serikali na vyama vya upinzani. Ona nyie badala ya kuangalia na kusaidia matamko ya Serikali mnapinga na kuongea upumbavu wenu. Sisi tumo katikati ya corona. Maneno Ni hayo. Fuata masharti. Hakuna dawa. Ni kusaidia tu dalili. Ungekaa ulaya ungejua kuna ugonjwa wa Grippe 🤧 na dalili zake. Haujawahi kuwa na tiba. Tunakaa mazingira yenye kila kitu Lakini ukipata unaambiwa ubaki ndani na kutengwa na nduguzo. Wiki 2. na nyumba nzima hamtatoka nje mpaka wiki Hizo zipite. Naombeni watanzania Fake kama wewe badilikeni. Pumbavu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukijibu mpumbavu nadhani wewe ndio mpumbavu zaidi. Nachoshukuru ulitaka watu wajue upo ulaya ukipatwa na corona lazima ufe kwa kazi yako ya kubeba makasha. Akili yako ni ndogo sana wewe. Ikiwa viongozi wanasiasa wanaongea na ndio na sisi tuige. Umejikanyaga kama umekanyaga mavi. Unasema unatengwa na nyumba aliyopo mgonjwa inatengwa sasa huku kutengwa wanaota moto ama wanafanya nini mpumbavu plus. Soma China wameweza kushinda vipi na madaktari bingwa wanaenda italy kufanya nini. Wewe mtanzania orjino utakuwa huko njoo huku unakimbia kwenu. Mawazo yako ya kise.hnge yanakutuma kama napingana na Rais hapana inatakiwa hao waliosomea hii kazi wawe wanatoa taarifa. Rais kaongea kama kiongozi wa nchi kutoa angalizo juu ya balaa hili. Sasa mpumbavu plus unaweza kuniambia nini kazi ya mganga mkuu wa serikali. Ukijibu umechomoa mchomeko niliokuingiza. Endelea kuhangaika na dunia ya watu kwa kigezo cha uzalendo.
We mpumbavu hata huku ulaya hatujawahi sikia sauti ya mganga mkuu. Wanaongea viongozi wa Serikali na vyama vya upinzani. Ona nyie badala ya kuangalia na kusaidia matamko ya Serikali mnapinga na kuongea upumbavu wenu. Sisi tumo katikati ya corona. Maneno Ni hayo. Fuata masharti. Hakuna dawa. Ni kusaidia tu dalili. Ungekaa ulaya ungejua kuna ugonjwa wa Grippe [emoji1784] na dalili zake. Haujawahi kuwa na tiba. Tunakaa mazingira yenye kila kitu Lakini ukipata unaambiwa ubaki ndani na kutengwa na nduguzo. Wiki 2. na nyumba nzima hamtatoka nje mpaka wiki Hizo zipite. Naombeni watanzania Fake kama wewe badilikeni. Pumbavu


Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oya vp maji Uko kwenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Huku mje kutuokoa maana mliambiwa msikate miti mkaziba masikio. Ndio naisubiri ya mwezi huu mvua unakumbuka kitabu cha kiswahili zama zile shule ya msingi ni shule Maruriko ya Rufiji. Tuombeane heri bwawa likimalizika hakutokuwa na mafuriko ila hivi sasa ngoja kwanza. Tunajenga madungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilichogundua wananchi wa rwanda wana nidhamu na wasikivu sana kwa serikali yao tatizo sisi wananchi wa Tanzania kila mtu mjuaji anataka aonekane yeye ni nani kuanzia viongozi wakisiasa viongozi wa kidini mpaka baba mwenye nyumba
 
Ndugu napenda tu discuss hii kitu apa why serekal yetu iziwie mikusanyiko yote nchin wakati korona haijaingia kwann tusifunge mipaka tu bas na VIP Kama imesha ingia watu hatujatangaziwa hii si atar Zaid Mana naona hata jamiforums wamefunga ofc zao jaman tujuzen tujikinge mapema [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom