Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh kumbe mshahara wngu umezidi wa rais mara mbili mm ni jipu
Hivi Watanzania tunataka nini????????? Akifanya hili shida, akinyamaza shida, jamani hii ni shida tupu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Itabidi litumbuliwe kutumia BunsenBurner flame
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.
Kama mhahara wa raisi ndio huo, namshauri Waziri wa fedha kwenye jedwali la kodi ya mishahara lisomeke kama ifuatavyoRais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.
Hiyo habari ni ya ukweli haina uhusiano na siku yenu ya wajinga.
Ila milioni 9 ni nyingi sana kwa sababu hanunui chakula ulinzi,maji,umeme,usafiri,matibabu,mavazi yote anapewa bure.
Awe anapata laki 8 tu zinamtosha za kuwatumia ndugu zake chato wakimuomba ela.
Sasa lengo lenu la kutaka ataje mshahara wake lilikuwa ni nini? Maana kataja mnaanza kukataa.Uzalendo upi?wakuu wa mashirika wanatunzwa kama rais?unajua marupurupu ya rais kwa mwezi ni tsh ngapi?changa la macho,hata wabunge ukiwauliza mshahara watakwambia 2ml. Na salary slip utaoneshwa
Next time utasema unataka kujua analalia kitanda cha size gani, au ana vaa chupi ya XL au M. Small minded people always small minded.Ataje na masurufu mengine, usikute allowance mil 30 mshara ndio M 9.5 hii Nchi hii, Ngoja tuone hii tamthiliya itaishia wapi.
Hoja yangu ni kuita mshahara wa 9.5Ml uzalendo wakati Rais ana marupurupu kibao yanayozidi mshahara wake mara kadhaa.kwanini wanasiasa mara zote hutaja mishahara yao na si malipo yao mengine wanayolipwa kwa mwezi?kufananisha mapato ya rais na ya wakuu wa mashurika ni upuuzi.Rais ana malipo makubwa na bado ana pesa za ziada anazopewa kwa ajili ya kuzitoa kwa watu/pale anapopendezwa.Sasa lengo lenu la kutaka ataje mshahara wake lilikuwa ni nini? Maana kataja mnaanza kukataa.
Mnataka nini haswa nyie watu, au mlitaka aseme anapokea mil 100 ili muwe na hoja zenu zile?
Tsh Mil 9.5 au $ Mil 9.5? Kama Ni Tsh Mil 9.5 Mh. Usikate Kitu, Kwani Kwa Kiwango chako cha Paa la Tsh 15,000,000 Wapo watakaaozidi mshahara wako. Na huo Ni Uzalendo Uliotukuka. Nakupongeza sana, sana.Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.
Wewe ni chizi wa kiwango cha PhD.anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Hongera kwa hesabu nzuri, tupigie na Sh. 40M.9500000 per year 114,000,000
9500000 per 5 years 570,000,000
9500000 per 10 years 1,140,000,000
HAPA KAZI TU.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.
huyo jamaa haelewi , rais magu amesema mshahara aliokuta na anaoendelea kupokeni ni 9.5m , sasa iweje jk ampokee tofauti na huo (36m) , aliyohukuta ina maana kwamba hata jk alipokea 9.5mUle ulikuwa ni uongo, pengine walijumlisha na allowance zake za safari zikiwemo za nje na mambo mengine...lakini mshahara wa Rais hauwezi kuzidi milion 10.
mkuu hawa ndio aina vijana wa mbowe alionaoMimi nadhani watu wengine vichwa vyao vimejazwa maji badala ya akili. Hivi kweli mtu kutamka ati Rais alipwe mshahara wa laki nane una akili timamu!? Hivi wewe ungekuwa ndiyo Rais ungethubutu hata kuwazia tu kujilipa shs milioni tano, achia mbali kuota kupunguza hiyo milioni tisa!!! Sasa hayo unayasema ili kufurahisha wajinga au kwa sababu haikuhusu? Badala ya kushukuru tumepata Rais anayeweza kufikiria mtu wa kawaida anaishije katika nchi wewe unakufuru. Mbona hao watundu na wazito wanaolipwa posho ya shs laki tatu kwa siku wanajiondoa kwenye Kamati kwa sababu ya kuondolewa posho za vikao huwaambii wawe wa kweli, badala yake unamshambulia Rais ambaye amewambia wananchi wake ukweli wa mshahara anaolipwa ambao haufikii hata robo ya mishahara ya baadhi ya wakurugenzi anaowateua kusimamia mashirika yetu. Acheni ubinafisi wa kifisadi. Ni mtu mwenye mawazo ya kifisadi kama wewe anayeweza kukejeli juhudi za Rais JPM na kusema kuwa afanye kazi bila malipo.
kwa hiyo marais kama akina obama pamaoja na kulipiwa kila kitu bure unataka kusema hawalipwi hata kidogoMbona nimeskia Rais wa Tz ni wa 6 duniani kwa kupokea mshara mkubwa? alafu Tshs 9,500,000/= za kazi gani wakati anapata huduma zote hadi mafuta anatiliwa kwenye gari lake na kuna sheria ata akistaafu atakuwa anahudumiwa na serikali na familia yake kama rais mstaafu hizi fedha zote za kazi gani?.