Mlipoambiwa Msome mlikimbia na kuzugazuga.
Wazee wake waliuza mazao ili yeye asome na sio nyie wa kushinda mtandaoni mkisubiria maisha ya kwenye picha.
Wapo Watu kibaoo wanapokea mshahara mkubwa kuliko hata yeye,kwanza vipesa vyenyewe hivyo?aisee kumbe Uraisi kweli wito.
Wenzenu wanapojitoa kwenye siasa nyie mmelala,wakipata midomo juu,we unategema unasoma ili iweje.
Kizazi cha kununua mitihani na kukopy Researches usilinganishe na watu waliosotea elim miaka hiyo,na kukubali kutumwa saaana ili baadae Elim iwalipe.
Maana hata nyie wengine Mungu atawauliza mmenfanyia nini,ambao wengi ni Mademm na Ulevi tu,Siku ya Ibada Bibble kuuubwa,akitoka hapo kama kawaida.
Humu kuna watu hata wake zao hawaijui Mishahara yao