Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
WAle wahamisha magoli watarudi na hoja siyo tena kutaka kujua mshahara wake inakuja hoja nyingine kabisa. Bahati mbaya Mshahara wa RAis hauwezi kupunguzwa akiwa madarakani; anaweza akaamua kujitolea kugawa anacholipwa lakini huwezi kuupunguza. Ni issue iliyomo ndani ya Katiba. Kwa sababu akipunguza tu anapunguza pia mafao mbalimbali ya Marais wengine waliopita kwani wao hulipwa kwa kulinganisha (pegging) na mshahara wa Rais wa sasa.