Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

WAle wahamisha magoli watarudi na hoja siyo tena kutaka kujua mshahara wake inakuja hoja nyingine kabisa. Bahati mbaya Mshahara wa RAis hauwezi kupunguzwa akiwa madarakani; anaweza akaamua kujitolea kugawa anacholipwa lakini huwezi kuupunguza. Ni issue iliyomo ndani ya Katiba. Kwa sababu akipunguza tu anapunguza pia mafao mbalimbali ya Marais wengine waliopita kwani wao hulipwa kwa kulinganisha (pegging) na mshahara wa Rais wa sasa.
 
Kwa maoni haya hakuna jema ambalo Rais atafanya na wewe ukalikubali...pole sana, comrade.
Mkuu, hapana jamaa ana logic, mishahara matumizi yake ni kukidhi gharama za maisha ya kila siku ambazo tayari zinabebwa na bajeti ya kila mwaka. Katiba pia imemhakikishia kuishi hata baada ya kuongoza, sasa mshahara wa nini???
 
Mshahara mkubwa mno huo,hautumii,kwan marupurupu ni mengi mno,matibabu bure,Nguo huvalishwa na Serikali,usafir bure kila kitu yeye na watoto wake ni bure.
 
Mkuu, hapana jamaa ana logic, mishahara matumizi yake ni kukidhi gharama za maisha ya kila siku ambazo tayari zinabebwa na bajeti ya kila mwaka. Katiba pia imemhakikishia kuishi hata baada ya kuongoza, sasa mshahara wa nini???

Duh, aisee, comrade, na wewe nakupa pole...ila you may have a point labda wewe itikadi zako ni za 'classical communism'. On a serious note, comrade, hivi Rais afanye nini mpaka mikakati yake ya kuijenga nchi hii,( ya kurudisha nidhamu katika jamii, ya kuwajibika, ya kufuata sheria, ya kuhakikisha kuwa kila mtu anakula kwa jasho lake, ya kuhakikisha kuwa raslimali za taifa hili watanzania wote wanafaidi) inakubalika na watanzania kama ninyi? What should the Presient do?! Kwanini mnakuwa hivi? Yaani sisi watanzania tumekuwa ni watu wa kulalamika kwa kila kitu. Wengine wanasema haya Rais ataje mshahara wake, amewatajia, lakini wako wanaoona haijatosha kwani walidhani Rais anapokea pengine milioni 100 au zaidi kwa mwezi, kwa hiyo wanasema hizo milioni 9.5 ni nyingi apunguziwe hadi zifikie 400,000/- kwa mwezi kwani eti anakula bure, sijui nini bure, etc. Yaani sisi watanzania ni watu wa ajabu, hata malaika hawezi kutawala nchi hii.
 
Yaani Magufuli naye.anaitumia 1st April kutujingaisha sisi? Mbona mwenzake alisema mshahara wake hauzidi 30 m kipindi alipobanwa kwamba anamzidi rais Obama? Huyu naye atanifanya niendelee kutokuwa na imani naye, maana rais akiwa mwongo mwongo sasa raia itakuwaje? Tena asitake kuendelea kuniaminisha kwamba hata urais hakushinda!
Mkuu unakumbuka majuz alisema kuna wafanyakazi wanalipwa mpaka milion 40 anataka awapunguzie mshahara iweje Rais awe na mshahara mdogo wakati hao wakurugenzi kawateua yy inakuwaje awape mshahara mkubwa yy Ajilipe mdogo?
 
kesho utatusaidia kuongoza nchi,???unadhani ni kazi rahisi kiasi hicho,kama kuongoza tu wake zetu wasiwe na tabia mbaya ni kazi unadhani ni rahisi kiasi hicho mkuu??jenga hoja
 
kama utaniamini sawa lakini kiufupi tu,kama hauko kwenye kundi la watu fulani huwezi jua nn kinaendelea kule,utaumiza kichwa bure,ya ngoswe mpe ngoswe tu!!!!kwani taarifaza mpenzi wako unazijua zote???
 
mtajuana wenyewe nyie ndo munasema fulani mama yako kafa mtu akienda nyumbani unamwambia siku ya wajinga leo!!!akili ndogo
 
Suala la mshahara wa rais sio issue kwa kuwa ni mtumishi wa umma anahaki ya kulipwa mshahara lkn je ikiwa yeye ni RAIA Namba moja mshahara wake unakatwa kodi? Na inawezekana mshahara ikawa kama alivyosema yeye 9500000 lkn marupurupu yakawa hats zaidi ya Mara 3 ya mshahara na tukumbuke marupurupu hayana kodi.
Ikiwa rais ni mzalendo kiasi hicho alete pay slip yake aweke hadharani.
 
Nilidhani ni habari ya siku ya wajinga duniani!
Kama itaendelea mpaka kesho nitaamini kama sio zile USD 198, 000
 
anajinyima sana mpendwa wetu JPM mbona yule kijana wa. kikwere alikua anaficha 30m kwabmwez hapo sina uhakika ila atakua ameiminya sana hii nchi.
 
WAle wahamisha magoli watarudi na hoja siyo tena kutaka kujua mshahara wake inakuja hoja nyingine kabisa. Bahati mbaya Mshahara wa RAis hauwezi kupunguzwa akiwa madarakani; anaweza akaamua kujitolea kugawa anacholipwa lakini huwezi kuupunguza. Ni issue iliyomo ndani ya Katiba. Kwa sababu akipunguza tu anapunguza pia mafao mbalimbali ya Marais wengine waliopita kwani wao hulipwa kwa kulinganisha (pegging) na mshahara wa Rais wa sasa.

..wanaweza kwenda bungeni wakatunga sheria inayoruhusu kufunguza mshahara wa Raisi pamoja na Mafao ya viongozi wakuu wastaafu.

..Kama Hilo litachukua muda basi Raisi awaombe wazee wastaafu wakubali kupunguziwa Mafao Yao ili waisaidie serikali kubana matumizi.
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Unapokuwa na raia kadhaa wenye akili kama hii ndipo unapata tamaa ya kulazimisha watu wafanye kazi kwa nguvu kupunguza idadi ya wanasiasa bangi na viroba.
 
Hiyo habari ni ya ukweli haina uhusiano na siku yenu ya wajinga.

Ila milioni 9 ni nyingi sana kwa sababu hanunui chakula ulinzi,maji,umeme,usafiri,matibabu,mavazi yote anapewa bure.

Awe anapata laki 8 tu zinamtosha za kuwatumia ndugu zake chato wakimuomba ela.
Hiyo list ya allowance zake uliipata wapi?
 
Huyu kijana aliyeigiza sauti ya Magufuli kwenye kutaja mshahara anaitwa nani vile
 
Back
Top Bottom