Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Mkuu, hapana jamaa ana logic, mishahara matumizi yake ni kukidhi gharama za maisha ya kila siku ambazo tayari zinabebwa na bajeti ya kila mwaka. Katiba pia imemhakikishia kuishi hata baada ya kuongoza, sasa mshahara wa nini???Kwa maoni haya hakuna jema ambalo Rais atafanya na wewe ukalikubali...pole sana, comrade.
Mkuu, hapana jamaa ana logic, mishahara matumizi yake ni kukidhi gharama za maisha ya kila siku ambazo tayari zinabebwa na bajeti ya kila mwaka. Katiba pia imemhakikishia kuishi hata baada ya kuongoza, sasa mshahara wa nini???
Mkuu unakumbuka majuz alisema kuna wafanyakazi wanalipwa mpaka milion 40 anataka awapunguzie mshahara iweje Rais awe na mshahara mdogo wakati hao wakurugenzi kawateua yy inakuwaje awape mshahara mkubwa yy Ajilipe mdogo?Yaani Magufuli naye.anaitumia 1st April kutujingaisha sisi? Mbona mwenzake alisema mshahara wake hauzidi 30 m kipindi alipobanwa kwamba anamzidi rais Obama? Huyu naye atanifanya niendelee kutokuwa na imani naye, maana rais akiwa mwongo mwongo sasa raia itakuwaje? Tena asitake kuendelea kuniaminisha kwamba hata urais hakushinda!
WAle wahamisha magoli watarudi na hoja siyo tena kutaka kujua mshahara wake inakuja hoja nyingine kabisa. Bahati mbaya Mshahara wa RAis hauwezi kupunguzwa akiwa madarakani; anaweza akaamua kujitolea kugawa anacholipwa lakini huwezi kuupunguza. Ni issue iliyomo ndani ya Katiba. Kwa sababu akipunguza tu anapunguza pia mafao mbalimbali ya Marais wengine waliopita kwani wao hulipwa kwa kulinganisha (pegging) na mshahara wa Rais wa sasa.
Unapokuwa na raia kadhaa wenye akili kama hii ndipo unapata tamaa ya kulazimisha watu wafanye kazi kwa nguvu kupunguza idadi ya wanasiasa bangi na viroba.anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Na yupo kazini 24/7 au umesahau?anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Hiyo list ya allowance zake uliipata wapi?Hiyo habari ni ya ukweli haina uhusiano na siku yenu ya wajinga.
Ila milioni 9 ni nyingi sana kwa sababu hanunui chakula ulinzi,maji,umeme,usafiri,matibabu,mavazi yote anapewa bure.
Awe anapata laki 8 tu zinamtosha za kuwatumia ndugu zake chato wakimuomba ela.
Na yupo kazini 24/7 au umesahau?