Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Unaakili timamu?? Si aliahidi mwenyewe kwani alilazimishwa?
 
Reactions: BAK
taja kwanza izo njia za kutuma salary slip ya Rais afu ndo tuchague................magwepande hapana
 
Kiukweli kabisa katika mambo ambayo ni confidential ni pamoja na mshahara wa mtu.... Sasa mheshimiwa alishawaambia mshahara wake bado hamuamini mnataka na salary slip!!! Kwani kuna watu huwa wanalipwa mshahara bila salary slip? Labda casual labors (Vibarua) Bado sijaelewa wanaodai hiyo salary slip ina maana hamuamini kazi ya hazina?
Fanyeni kazi jamani mambo mengine hayana hata maana ya kuyajadili ni kupoteza muda. Kuna watu humu jamii forum hata familia zao hawajawahi kuwaambia wanalipwa mshahara kiasi gani, inawezekana hata salary slip familia zao hazifahamu inafananaje? wanadhani labda ni sehemu cheo au utaratibu makazini....
 
Hazina na BOT ziko chini ya mukulu akiamua tu anamega atakapo

Point! Ni kupoteza muda kuulizia salary slip ya mtu aliye na uamuzi wa mwisho kuhusu madaktari waajiriwe kenya au Tanzania au waendelee kusubiri vijiweni hadi "mahesabu yake" yatakapokubali. Order ya Bombardier na/au Dreamliners ngapi iwekwe? Wizara ipi ipewe pesa kiasi gani. Ipi iminywe?

Mtu ambaye gharama za maisha yake na familia zinalipwa na serikali asilimia 100 tena yeye akiwa ndiye muamuzi wa kiasi na viwango vya bidhaa na huduma zinazotumika nyumbani kwake.

Bado kuna watu wanaulizia hiyo salary slip kweli?
 
Ataje na masurufu mengine, usikute allowance mil 30 mshara ndio M 9.5 hii Nchi hii, Ngoja tuone hii tamthiliya itaishia wapi.
Sio kweli kafoji salary slip.Ataje na zile anazoziiba kunyemela.
 
Si alipwe milion 2 tu abane bajeti au bajet kwa wengine tu
 
Tatizo hata focus hatuioni,ni sawa tunakaza mkanda huku matumaini hayapo
 
Kila kitu kina mwanzo wake, hata madikteta wengine walianza kama mchicha
 
Akili yako ina matatizo kweli kweli!!.

Ni lini tulitaka mtu ambaye hawezi simamia maneno yake?



Alafu unatia huruma sana! Unaelewa maana ya kunyoosha nchi? Mafuta...mchele...sukari vyote viko juu achilia mbali kuanguka kwa shilingi bado tu unasema nchi inanyooshwa?? Are you insane?
 
Poleni wote mliochangia mada kwani hamkujua ilitoka tarehe ngapi na saa ngapi. Ilikuwa rasmi kwaajili yenu wajinga. Fool's day.
Naona akili zenu zinafanana!! Fools day inaingia vipi kwa rais? Kwa hiyo angesema tuishambulie kenya alafu badae akasema ilikua fools day ungemuelewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…