Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
ITASAIDIA NINI KUTATUA MATATIZO YA TZ.Wazee hii ni ya kweli kabisa, wamerudia kusema haihusiani na siku ya tarehe moja, sikiliza clouds fm pia saizi wanaizungumzia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ITASAIDIA NINI KUTATUA MATATIZO YA TZ.Wazee hii ni ya kweli kabisa, wamerudia kusema haihusiani na siku ya tarehe moja, sikiliza clouds fm pia saizi wanaizungumzia
Wanalipwa sh ngapi?sikukuu ya wajinga hii raisi wa nchi tangu lini akalipwa sh milioni 9
duu laki nne hatare sana.... hata mm haunitoshianakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
anakula bure, analala bure , laki nne nyingi sanaduu laki nne hatare sana.... hata mm haunitoshi
Hiyo 192m uliitoa wapi?Jambo la kushangaza ni kwamba mshahara wa raisi wa nchi uko kwenye scale au anaamua kwa utashi wake alipwe kiasi gani pale anapoingia ikulu? Kila siku tunasema hapa kwamba ikulu ni taasisi inayotakiwa iendeshwe kwa taratibu za kiutumishi, sasa inakuwavipi mtangulizi wako alipwe dola equivalent to TZs 192m TZs, halafu wewe ulipwe TZs 9.5M?
ataje na marupurupu yake ambayo ni mara 10 ya mshahara wake. anataka kutuletea ile janja ya wabunge wanaojidai kulipwa tsh milion 1.2 wakati ukijumlisha posho na marupurupu mengine zinapindukia tsh milion 12. asidhani kila mtanzania ni KILAZA. akajipange tena aje na majibu toshelevu.Rais Dk john pombe magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na n gazeti la nipashe kuwa Zito na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi
Wakiwa katika mjadara huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawaskia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9 plus na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Source Clouds 360 Asubhi hii.
Rais Dk john pombe magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na n gazeti la nipashe kuwa Zito na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi
Wakiwa katika mjadara huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawaskia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9 plus na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Source Clouds 360 Asubhi hii.
Hiyo sasa ni hasira bila hata logic! Kwani mshahara ni malipo ya chakula na ulinzi?anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Wazee hii ni ya kweli kabisa, wamerudia kusema haihusiani na siku ya tarehe moja, sikiliza clouds fm pia saizi wanaizungumzia
Achaaa ujingaa..kwani hizoo private Media hazina watazamaj??sii kotee atawapigiaaa..Na.piaa a naangaliaa wapii kuna wasikklizaji waongeajii wengiii.maana wajuajii unawa. TBC tungezipataaa SAA ngapiiii??think Twice..Raid kajiongezaahata kama kweli rais ni taasisi kubwa unatoa taarifa kwenye private media??
Hiyo habari ni kweli maana hata clouds wamesema kama japo leo ni siku ya wajinga Ila kwa hili suala kama wao kituo cha tv hawawezi kuongea uongo maana hili ni suala linalomhusu Rais na linahitaji usiriasi kulitaja na hauna mamlaka kutaja hata kama ni siku ya wajinga,,, So wameconfirm kuwa ni kweli maana Rais mwenyewe ndo kawapigia na akirudi toka Likizo ataliweka hadharani zaidi na kutoa salary slip yake...
Marupu rupu mengine ni pamoja na kununuliwa mavazi, chakula bure na kutokulipa kodi yoyote kutoka katika mapato yake.~~~> Ni vyema Raisi akatueleza na Marupurupu anayopokea kila mwezi
~~~> Siku zote hawa watu wamejipangia Mshahara mdogo posho kubwa ili wakwepe kodi ... Kwakuwa Posho hazikwati kodi.
Nani anaangalia na kusikiliza TBC? Rais mwenyewe anajua kuwa kule hakuna wateja. Halafu TBC yenyewe hata nikipita kwa bahati mbaya kwenye Dstv huwa haina sauti.Masikini TBC, clouds naona wanafanya kazi zao!