Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Basi mnyang'anye huo urais! Kuna marupurupu mengine yameandikwa kwenye Katiba nayo ayakatae? Hizo ni chuki binafsi!
 
Siku ya leo si yakuamin chochote huku..
 
April fools and you are fooled
Nimechukulia kama kweli, nafahamu siku ya leo toka jana usiku.
Nimechukulia tu kama ni kweli, kama ni uongo wala sitasema aaaaaaah, kumbe ni siku ya wajinga.
Ila shukrani kwa kuniambia.
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Hasira za kutumbuliwa hizo; ulitaka rais alipwe laki 3 na asilindwe mjinga mkubwa wee!
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
usiwe mburala kiasi hicho. eti anakula bure analindwa bure wakati mtu ni rais wa jamhuri. wewe unafikiri jpm ni ofisa kiwanda cha nguo?
 
Mh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema mshahara wake ambao yeye ameukuta na ambao analipwa ni Milioni 9 na laki 5. Rais Dkt.Magufuli amelazimika kuyasema hayo wakati wa uchambuzi wa magazeti katika kipindi cha Clouds360. Akizungumza na mtangazaji wa kipindi hicho Hudson Kamoga ameahidi akirudi kutoka likizo yupo tayari kuonyesha nyaraka za malipo ya mshahara wake.
Baada ya kusema mshahara wa juu uwe angalau Milioni 15 kumbe yeye hata Milioni 10 hajafikisha
At least Hata ifike Kumi Tisa na unusu ndogo Sana Aisee Rais Ana majukumu kibao .
 
Hiyo habari ni ya ukweli haina uhusiano na siku yenu ya wajinga.

Ila milioni 9 ni nyingi sana kwa sababu hanunui chakula ulinzi,maji,umeme,usafiri,matibabu,mavazi yote anapewa bure.

Awe anapata laki 8 tu zinamtosha za kuwatumia ndugu zake chato wakimuomba ela.
Unajisemea tu. Hebu sasa hivi wananchi waruhusiwe kupiga kura kuaamua mshahara wake wasipompa ml30 pamoja na marupurupu yote uliyotaja hapo juu.
 
Rais inabidi ajizoeshe kutumia vyombo vyake haya mambo ya kupiga simu clouds sio mazuri na sio ishara nzuri kwa tbc.
Hivi inamaana mkuu wa kaya haangalii kabisa kile kipindi cha uchambuzi wa magezi cha tbccm??[emoji38] [emoji38]
 
Huo mshahara ni mdogo sana ukiringanisha na kazi anayoifanya magufuli hata akijilipa mil 500 kwa mwezi ni sawa tuu.
 
M10 ni nyingi wakkkati maisha yake hayana gharama analipiwa kila kitu hizi anazopewa ni pensions au? apewe.m5 basi awe anawapifa support ndugu zake wakimuomba
 
Ya kweli haya?! yule jamaa yetu wa msoga yeye alikuwa anakunja 192m us dollar kwa mwaka sawa 36 m tsh kwa mwezi!. basi magufuli ni mzalendo
Huyu mil.9sawa tu kwa kuwa ndiye mkuu wa nchi sasa watu wanafanya mzaa eti alambe laki nane hiyo ni mjama ya kuwaendekeza wa million 36
 
Back
Top Bottom