Jambo la kushangaza ni kwamba mshahara wa raisi wa nchi uko kwenye scale au anaamua kwa utashi wake alipwe kiasi gani pale anapoingia ikulu? Kila siku tunasema hapa kwamba ikulu ni taasisi inayotakiwa iendeshwe kwa taratibu za kiutumishi, sasa inakuwavipi mtangulizi wako alipwe dola equivalent to TZs 192m TZs, halafu wewe ulipwe TZs 9.5M?