Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Kwa hiyo kuna watu nchi hii wanakamata mpunga mrefu kuliko amiri jeshi mkuu?
 
Hiyo 192m uliitoa wapi?
 
hata akilipwa trilion moja sisi tunaye Magu wetu , mkombozi wa nchi yetu tanzania
 
Hapa kutakuwa na hoja za kinafiki tu
 
ataje na marupurupu yake ambayo ni mara 10 ya mshahara wake. anataka kutuletea ile janja ya wabunge wanaojidai kulipwa tsh milion 1.2 wakati ukijumlisha posho na marupurupu mengine zinapindukia tsh milion 12. asidhani kila mtanzania ni KILAZA. akajipange tena aje na majibu toshelevu.
 

Inashangaza sana kuona wakuu wa mashirika na Idara za Umma wanalipwa mshahara zaidi ya Mkuu wa nchi.

Lakini swali la kujiuliza Je ni Nani anaye panga au Kupandisha Mishahara ya hawa Vigogo???!!
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Hiyo sasa ni hasira bila hata logic! Kwani mshahara ni malipo ya chakula na ulinzi?
 
kama ni kweli,, hawa viongozi ,,zito na lissu ,,watakuwa ni watu wa siasa za maji taka! wanatakiwa kuzungumzia hoja za kuipeleka mbele nchi na sio mshahara wa mtu mmoja, rais, mshahara wa rais hauna impact kwa nchi...waongelee mambo ya msingi..ya kukwamua nchi kwenda mbele...vitu kama prons and corns za kupunguza mishahara ya over 15million hapa nchini...ku promote exportations...katiba mpya...
 
Wazee hii ni ya kweli kabisa, wamerudia kusema haihusiani na siku ya tarehe moja, sikiliza clouds fm pia saizi wanaizungumzia

nimeona wameiandika kwenye blog mbali mbali huku ina maana rais anapata mshahara mdogo kuliko huyu BENO NDULU nk
 
hata kama kweli rais ni taasisi kubwa unatoa taarifa kwenye private media??
Achaaa ujingaa..kwani hizoo private Media hazina watazamaj??sii kotee atawapigiaaa..Na.piaa a naangaliaa wapii kuna wasikklizaji waongeajii wengiii.maana wajuajii unawa. TBC tungezipataaa SAA ngapiiii??think Twice..Raid kajiongezaa
 
Nyani Ngabu alishaulizia sana hii sijui ameona au amelala if at all this is true.
 

Masikini TBC, clouds naona wanafanya kazi zao!
 
~~~> Ni vyema Raisi akatueleza na Marupurupu anayopokea kila mwezi



~~~> Siku zote hawa watu wamejipangia Mshahara mdogo posho kubwa ili wakwepe kodi ... Kwakuwa Posho hazikwati kodi.
Marupu rupu mengine ni pamoja na kununuliwa mavazi, chakula bure na kutokulipa kodi yoyote kutoka katika mapato yake.
 
This is a hoax! After all, Magufuli is not barred from spreading hoaxes on Fools Day.
 
Masikini TBC, clouds naona wanafanya kazi zao!
Nani anaangalia na kusikiliza TBC? Rais mwenyewe anajua kuwa kule hakuna wateja. Halafu TBC yenyewe hata nikipita kwa bahati mbaya kwenye Dstv huwa haina sauti.
 
Ombi kwa Raisi, Tafadhali sana usiache wanasiasa na watanzania wajinga kukutoa kwenye lengo lako kuu na kukutumbukiza kwenye malumbano yasio na tija. Kuna mi Tanzania kamwe haitaridhikia na uyafanyayo mheshimiwa hivyo basi usitafute kuwaonyesha una jali maana haielewi. Wewe piga kazi na Iburuze tu ufikapo mwisho wataelewa. Fanya kama wakoloni walivofanya mpaka kuleta maendeleo south Africa na Marekani, iburuze tu wataelewa mbele mbele huna haja ya kuonekana muelewa kwa mijitu isiyoelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…