Kwa hiyo suluhisho ni kuipromote clouds?Nani anaangalia na kusikiliza TBC? Rais mwenyewe anajua kuwa kule hakuna wateja. Halafu TBC yenyewe hata nikipita kwa bahati mbaya kwenye Dstv huwa haina sauti.
Kama hivyo ndivyo,na kwa kuwa Rais ndiye THE BIG BOSS nionavyo mimi hapakutakiwa kuwa na mtumishi wa uma anayezidi mshahara wa Rais(the big boss).Ni sawa na mshangao unaoweza kuupata unapokwenda kwenye shirika flani X na kukuta kuna mfanyakazi anayepokea mshahara mkubwa BY FAR kuliko CEO.Rais Dk john pombe magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na n gazeti la nipashe kuwa Zito na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi
Wakiwa katika mjadara huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawaskia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9 plus na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Source Clouds 360 Asubhi hii.
Subiri arudi unatumbuliwa.Duh kumbe mshahara wngu umezidi wa rais mara mbili mm ni jipu
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Mshahara wa million 9.5anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Aendelee kupiga Kaz itakayoendana na ukubwa wa mshahara huoMh. Rais Dkt. John Pombe Magufuli amesema mshahara wake ambao yeye ameukuta na ambao analipwa ni Milioni 9 na laki 5. Rais Dkt.Magufuli amelazimika kuyasema hayo wakati wa uchambuzi wa magazeti katika kipindi cha Clouds360. Akizungumza na mtangazaji wa kipindi hicho Hudson Kamoga ameahidi akirudi kutoka likizo yupo tayari kuonyesha nyaraka za malipo ya mshahara wake.
Baada ya kusema mshahara wa juu uwe angalau Milioni 15 kumbe yeye hata Milioni 10 hajafikisha