Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukoo wako
Nyumbu
WANAJAMVI amjambo?
ebu tusadiane, yani rais analipwa 9.5m alafu mteule wake analipwa 36m? ebu tusaidiane bhana au BROO MAGU ametumia sikukuu ya wajina kutudanganya SISI WAAJRI WAKE?
KAMA ANAKUDANGANYA SI USEME WEWE KUWA ANALIPWA KIASI GANI...?? WATANZANIA TUNAJIFANYA TUNAJUA KILA KITU
mkuu binafsi sipingani na jitihada za rais, namkubali sana magufuli, linapo kuja swala la mshahara kwa mtu kama rais sioni ni wa nini,kwasababu tunapo mpa kila hitaji l, ake mpaka kiwembe au wa kumkata kucha kabisa tukamlipa ili kumuwezesha afanye shughuli zake kwa wepesi, ukiongeza malipo ya mshahara kwa kutaja kiasi chochote sioni kama nirealistic.
Hivi akiamua kuforge salary slip kuna shida maana wanaziprint wao wenyewe tusiwaamin wanasiasaa.......
Yani hapo anakua anacheza tu na akili za watanzania..maana jamaa nae kwa mbwembwe ni hatariHiyo nayo inawezekana....
Mnafiki wewe , Mshahara Wa milioni Tisa pont 5 ni mkubwa kwa Rais? hauko seriousanakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Hivi zito na lisu huwa swaelewa na wao wanalialia kimoyoyo hakuna posho za kijinga wameanza kujiuzuru,hawa jamaa hawataki kusema ukweli kwa watanzania kuwa jaman maisha yamebadilika siku hiz fedha hakuna wanaanza kumshambulia rais et taja mshahara.kuna baadhi ya wanasiasa nishaachaga kuwasikila kwasababu niwanafiki ni baraa wakibanwa wanaongea vingne kufikisha ujumbe nawaomba watulie sindano ziingie vizuri.
ndugu nakubali ugumu wa kazi ya rais, kwenye maada hihi kuna ndugu yangu mmoja anaye amini kama wewe nime mjibu hiviNaheshimu mawazo na maoni yako, lakini kumbuka nafasi ya Urais na ambaye ni Head of State na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama siyo ya mchezo hata kidogo. Haiwezekani mtu mwenye majukumu kama hayo awe na mawazo namna ya kula na vitu vidogo vidogo. Sh. milioni 9.5 ni fedha ndogo sana, na hata maruprupu anayopata ni ya kawaida tu, kwa maoni yangu.
Hivi ni kwa nini mlikuwa mnaulizia mshahara wake ni kiasi gani kama baada ya kuwaambia mafikirio yenu ndo haya?Hivi akiamua kuforge salary slip kuna shida maana wanaziprint wao wenyewe tusiwaamin wanasiasaa.......
Hizo zote ni assumptions kutokana na tabia ya bwana mkubwa.....ila yeye si mzalendo angejilipa sawa na mwalimu anaefundisha watoto wetu na askari anaetulinda maana yeye kwake kila kitu ni bureHivi ni kwa nini mlikuwa mnaulizia mshahara wake ni kiasi gani kama baada ya kuwaambia mafikirio yenu ndo haya?
Hivi ni kwa nini mlikuwa mnaulizia mshahara wake ni kiasi gani kama baada ya kuwaambia mafikirio yenu ndo haya?
Hapa jibu fupi ni haiwezekani.Hizo zote ni assumptions kutokana na tabia ya bwana mkubwa.....ila yeye si mzalendo angejilipa sawa na mwalimu anaefundisha watoto wetu na askari anaetulinda maana yeye kwake kila kitu ni bure
Huo ni mtazamo wako ktk koti la ukatoliki, kiuhalisia haiko hivyo ktk siasa.ndugu nakubali ugumu wa kazi ya rais, kwenye maada hihi kuna ndugu yangu mmoja anaye amini kama wewe nime mjibu hivi
(ndugu yangu ingawa mimi siyo mkatoliki niliwahi kusikia kitu kama hiki, naomba uchukulie kama mfano, mapadri wa kikatoliki hawalipwi mishahara ila husaidia sana familia zao!. Mimi nipo tayari kufanya kazi "bila malipo" kama ntapewa kila kitu cha kuniwezesha kuhishi na kunihakikishia maisha baada ya kustaafu hadi kufa kwangu. Neno bila malipo hapo juu nime liweka kwenye inverted comma kwani si sahii kusema silipwi wakati napewa kila kitu! na hicho kitu nitakacho pewa ndo ujira wenyewe!!!!, kwahiyo ndugu yangu mshahara wa rais ni jumla ya gharama zoote anazo gharamiwa na selekali kwa mwezi + na hizo miloni tisa na nusu.) naomba pia nitambue kuwa hoja zenu zilifanana kimaudhuhi, hasante.