Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Nahis huyu jamaa ni muongo ...kwa maana hiyo hata wa bunge wanalipwa milioni 2 tu..... posho sio mshahara ??
 
WANAJAMVI amjambo?

ebu tusadiane, yani rais analipwa 9.5m alafu mteule wake analipwa 36m? ebu tusaidiane bhana au BROO MAGU ametumia sikukuu ya wajina kutudanganya SISI WAAJRI WAKE?
 
KAMA ANAKUDANGANYA SI USEME WEWE KUWA ANALIPWA KIASI GANI...?? WATANZANIA TUNAJIFANYA TUNAJUA KILA KITU
 
Hivi akiamua kuforge salary slip kuna shida maana wanaziprint wao wenyewe tusiwaamin wanasiasaa.......
 
mkuu binafsi sipingani na jitihada za rais, namkubali sana magufuli, linapo kuja swala la mshahara kwa mtu kama rais sioni ni wa nini,kwasababu tunapo mpa kila hitaji l, ake mpaka kiwembe au wa kumkata kucha kabisa tukamlipa ili kumuwezesha afanye shughuli zake kwa wepesi, ukiongeza malipo ya mshahara kwa kutaja kiasi chochote sioni kama nirealistic.

Naheshimu mawazo na maoni yako, lakini kumbuka nafasi ya Urais na ambaye ni Head of State na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama siyo ya mchezo hata kidogo. Haiwezekani mtu mwenye majukumu kama hayo awe na mawazo namna ya kula na vitu vidogo vidogo. Sh. milioni 9.5 ni fedha ndogo sana, na hata maruprupu anayopata ni ya kawaida tu, kwa maoni yangu.
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Mnafiki wewe , Mshahara Wa milioni Tisa pont 5 ni mkubwa kwa Rais? hauko serious
 
Hivi zito na lisu huwa swaelewa na wao wanalialia kimoyoyo hakuna posho za kijinga wameanza kujiuzuru,hawa jamaa hawataki kusema ukweli kwa watanzania kuwa jaman maisha yamebadilika siku hiz fedha hakuna wanaanza kumshambulia rais et taja mshahara.kuna baadhi ya wanasiasa nishaachaga kuwasikila kwasababu niwanafiki ni baraa wakibanwa wanaongea vingne kufikisha ujumbe nawaomba watulie sindano ziingie vizuri.

Anaye endelea kuwasikiliza ni lofa na mpumbavu. Tumegundua wanasiasa ni wanafiki na walafi tu. Hakuna cha chama tawala wala upinzani. Tushukuru tumpata rais ambaye hana chama cha siasa anachokiamini.
 
Naheshimu mawazo na maoni yako, lakini kumbuka nafasi ya Urais na ambaye ni Head of State na Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi ya Ulinzi na Usalama siyo ya mchezo hata kidogo. Haiwezekani mtu mwenye majukumu kama hayo awe na mawazo namna ya kula na vitu vidogo vidogo. Sh. milioni 9.5 ni fedha ndogo sana, na hata maruprupu anayopata ni ya kawaida tu, kwa maoni yangu.
ndugu nakubali ugumu wa kazi ya rais, kwenye maada hihi kuna ndugu yangu mmoja anaye amini kama wewe nime mjibu hivi
(ndugu yangu ingawa mimi siyo mkatoliki niliwahi kusikia kitu kama hiki, naomba uchukulie kama mfano, mapadri wa kikatoliki hawalipwi mishahara ila husaidia sana familia zao!. Mimi nipo tayari kufanya kazi "bila malipo" kama ntapewa kila kitu cha kuniwezesha kuhishi na kunihakikishia maisha baada ya kustaafu hadi kufa kwangu. Neno bila malipo hapo juu nime liweka kwenye inverted comma kwani si sahii kusema silipwi wakati napewa kila kitu! na hicho kitu nitakacho pewa ndo ujira wenyewe!!!!, kwahiyo ndugu yangu mshahara wa rais ni jumla ya gharama zoote anazo gharamiwa na selekali kwa mwezi + na hizo miloni tisa na nusu.) naomba pia nitambue kuwa hoja zenu zilifanana kimaudhuhi, hasante.
 
bado sifurahishwi na jinsi magufuli anavyocheza na media muda wote kuna vitu vingine sio vya kujibu.....mwishowe ataulizwa mambo ya ndani
 
Yule alikuwa mzururaji (vasco da jk)🙄🙄

Huyu muuza sura (staring wa movie za saa moja channel ten na saa mbili ITV, TBC1 na StarTV) plus hii Cloud TV🙂🙂

Too much publicity😡😡😡
 
Hivi akiamua kuforge salary slip kuna shida maana wanaziprint wao wenyewe tusiwaamin wanasiasaa.......
Hivi ni kwa nini mlikuwa mnaulizia mshahara wake ni kiasi gani kama baada ya kuwaambia mafikirio yenu ndo haya?
 
Hizo zote ni assumptions kutokana na tabia ya bwana mkubwa.....ila yeye si mzalendo angejilipa sawa na mwalimu anaefundisha watoto wetu na askari anaetulinda maana yeye kwake kila kitu ni bure
 
Wewe inakuingia akilini kuwa Anko analipwa kidogo kuliko Mkurugenzi wa NHC na NHIF, ongeza na mashirika mengine ya umma! Inakuingia hiyo
 
Hizo zote ni assumptions kutokana na tabia ya bwana mkubwa.....ila yeye si mzalendo angejilipa sawa na mwalimu anaefundisha watoto wetu na askari anaetulinda maana yeye kwake kila kitu ni bure
Hapa jibu fupi ni haiwezekani.
 
ndugu nakubali ugumu wa kazi ya rais, kwenye maada hihi kuna ndugu yangu mmoja anaye amini kama wewe nime mjibu hivi
(ndugu yangu ingawa mimi siyo mkatoliki niliwahi kusikia kitu kama hiki, naomba uchukulie kama mfano, mapadri wa kikatoliki hawalipwi mishahara ila husaidia sana familia zao!. Mimi nipo tayari kufanya kazi "bila malipo" kama ntapewa kila kitu cha kuniwezesha kuhishi na kunihakikishia maisha baada ya kustaafu hadi kufa kwangu. Neno bila malipo hapo juu nime liweka kwenye inverted comma kwani si sahii kusema silipwi wakati napewa kila kitu! na hicho kitu nitakacho pewa ndo ujira wenyewe!!!!, kwahiyo ndugu yangu mshahara wa rais ni jumla ya gharama zoote anazo gharamiwa na selekali kwa mwezi + na hizo miloni tisa na nusu.) naomba pia nitambue kuwa hoja zenu zilifanana kimaudhuhi, hasante.
Huo ni mtazamo wako ktk koti la ukatoliki, kiuhalisia haiko hivyo ktk siasa.
 
Back
Top Bottom