Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Pesa ndogo sana anajilipa, na inamtosha
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Hapana sasa ni kumdhihaki Rais wetu.

Ni kweli CCM hata mimi naichukia sana sambamba na shetani ninavyomchukia. Lakini rais Magufuli anajitahidi sana akipambana sana na CCM kwani kwa sasa adui mkubwa wa Magufuli ni CCM.

Hata swala la Zanzibar marais wastaafu ndio wamemuharibia sana kwa uhafidhina walio nao. Ndio maana ya Zanzibar yametokea. Magufuli anastahili mshahara mkubwa kuliko huo. Kwani kazi anayoifanya nikubwa mno.

Pia kwa Umeya wa DSM tumshukuru sana kwani angekuwa JK tungeushuhudia kwenye bomba hata tungekuwa na madiwani 100 na ccm 50 tusingeshinda.
 
Sijachangia miaka mingi ila hili la mshahara wa mh Raisi limenigusa. Mh. Magufuli analipwa kidogo sana kulinganisha na other heads of states in East Africa. Predecessor wake "Vasco Da Gama" made a very handsome salary and katuachia UOZO utakaochukua decades kuusafisha. JPM ni mzalendo, wanaopiga kelele hawajui. He deserves 40M kwa mwezi.

Please!!! Nakuomba uendelee kuwa msomaji tu, usichangie tena! Sawa🙄🙄🙄
 
Mh.Rais kwakuwa kila kitu Serikali inakugharamia hebu wathibitishe watanzania kuwa una uchungu nao uko tayari kupunguza mshahara wako ukanunue madawati
 
Kuna punguani watakuja na hoja za mshahara huo ni mkubwa, ila mpaka nachangia siamini 100% taarifa hii.
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu

Unataka ashindwe hata kusomesha watoto? Watanzania wanafiki sana. Je angesema kapunguza mshahara wake toka milioni 70 hadi 30 si mngempongeza? Sasa anasema anapata milioni 9 na bado hamkosi la kusema.
 
Sijachangia miaka mingi ila hili la mshahara wa mh Raisi limenigusa. Mh. Magufuli analipwa kidogo sana kulinganisha na other heads of states in East Africa. Predecessor wake "Vasco Da Gama" made a very handsome salary and katuachia UOZO utakaochukua decades kuusafisha. JPM ni mzalendo, wanaopiga kelele hawajui. He deserves 40M kwa mwezi.
Kwa utajiri gani tulionao? Rais wa Ufaransa anapata $20 alfu kwa mwezi
 
Kwa kawaida hakuna mtu anaeweza kutaja mshahara sahihi hadharani either ataushusha or ataupandisha.
 
AhahaHahahhh Hahahahaha hata sipati shida kuumiza kichwa kwa huo mshahara pale napojua ilikuwa ni tarehe 1 April, wajinga ndio waliwao
 
Huo si mshahara mkubwa kwa Rais. Tatizo ni kuwa je, tunao mfumo rasmi na utaratibu wa kuweka viwango vya mshahara pamoja na maslahi yote ya rais na viongozi wengine wa serikali kama VP, PM, CDF, CJ, AG, etc.? Au ndio mtu anaposhika madaraka ya urais anajipangia anavyotaka? Manake tumekubali kuwa rais wa TZ ni omnipotent anaweza kufanya lolote; hakuna wa kumuuliza.
 
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Umeumbwa kuchefua akili za watu. Unafikili mahitaji ya rais ni kula, kuvaa na kulala.
Great thinker wewe ukiwa huna cha kuchangia unaacha uzi upite mbona tunajua upo.
 
Mshahara Wa Rais hauwezi kuwa millioni 9 hilo nakataa. Atwambie ukweli Kama ameamua kusema take home yake ni shillingi ngapi kwa mwezi.

Tiba
 
Rais Magufuli analipwa Tshs. Milioni 43 kwa mwezi, na mshahara huu ni nyongeza ya Tshs. Milioni 7 ambapo mwaka 2014 mshahara wa rais ulikuwa Tshs. Milioni 36! Marais wastaafu yaani Mwinyi, Mkapa na Kikwete wao wanakula Tshs. Milioni 34 kila mmoja kwa mwezi iwe walale, watembee, wakae kuchwe jua, mvua. Wao ikifika mwisho wa mwezi account zinasoma hadi siku wanaingia ndani ya futi 6.

Kilichotokea jana ni kituo cha clouds kwa kujua fika kuwa ni siku ya wajinga duniani basi wakavamia kuifanya siku hiyo kufana zaidi kwa Tanzania.

Kwa kweli kwa sasa watanzania wamebadilika na au kubadiloshwa sana! Hawahoji tena mambo muhimu kama haya bali wanayapokea tu juu juu. Kila kitakachosemwa kumsifia Magufuli wao huitika "HAPA KAZI TU" Sasa wengi wamekuwa walemavu wa kufikiri.

MCC wametoa sababu za msingi za kuinyima Tanzania Tshs. Trilioni 1. 05 za miradi ya maendeleo Magufuli akatoa matamshi ambayo kimsingi ni kujipa faraja huku wakijua fika kuwa tumekosea wao wakaitika "HAPA KAZI TU"

Kama mshahara wa rais umepunguzwa hayo yangejulikana na vyombo husika tena kwa mujibu wa sheria na siyo kusemwa kwenye kipindi cha soga kwenye kituo cha TV kisha wakaita "official statement" hivi hatuoni kuwa tunajidharau wenyewe?
 
Habari ya mshahara wa rais na siku ya Jana ulikuwa kipimo cha kutuonesha aina ya watu wa Tanzania.harafu tunasema tunaweza kujitegemea how ?
Rais Magufuli analipwa Tshs. Milioni 43 kwa mwezi, na mshahara huu ni nyongeza ya Tshs. Milioni 7 ambapo mwaka 2014 mshahara wa rais ulikuwa Tshs. Milioni 36! Marais wastaafu yaani Mwinyi, Mkapa na Kikwete wao wanakula Tshs. Milioni 34 kila mmoja kwa mwezi iwe walale, watembee, wakae kuchwe jua, mvua. Wao ikifika mwisho wa mwezi account zinasoma hadi siku wanaingia ndani ya futi 6.

Kilichotokea jana ni kituo cha clouds kwa kujua fika kuwa ni siku ya wajinga duniani basi wakavamia kuifanya siku hiyo kufana zaidi kwa Tanzania.

Kwa kweli kwa sasa watanzania wamebadilika na au kubadiloshwa sana! Hawahoji tena mambo muhimu kama haya bali wanayapokea tu juu juu. Kila kitakachosemwa kumsifia Magufuli wao huitika "HAPA KAZI TU" Sasa wangi wamekuwa walemavu wa kufikiri.

MCC wametoa sababu za msingi za kuinyima Tanzania Tshs. Trilioni 1. 05 za miradi ya maendeleo Magufuli akatoa matamshi ambayo kimsingi ni kujipa faraja huku wakijua fika kuwa tumekosea wao wakaitika "HAPA KAZI TU"

Kama mshahara wa rais umepunguzwa hayo yangejulikana na vyombo husika tena kwa mujibu wa sheria na siyo kusemwa kwenye kipindi cha soga kwenye kituo cha TV kisha wakaita "official statement" hivi hatuoni kuwa tunajidharau wenyewe?
 
Hata hayo mauthibitisho atakayoleta Pombe sio ya kuyaamini, yatakuwa yakutengeneza tu. Watu wanatengeneza noti bandia zikifanana kabisa na ukweli itakuwa hayo ma salaries slips. Kifupi Pombe na marais wote wanalipwa hela nzuri sana. Hapa nina maanisha remuneration na sio salary.
 
Back
Top Bottom