Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana sasa ni kumdhihaki Rais wetu.anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Zuma katisha 272,000usd per yr ....si mchezo!!!
Sijachangia miaka mingi ila hili la mshahara wa mh Raisi limenigusa. Mh. Magufuli analipwa kidogo sana kulinganisha na other heads of states in East Africa. Predecessor wake "Vasco Da Gama" made a very handsome salary and katuachia UOZO utakaochukua decades kuusafisha. JPM ni mzalendo, wanaopiga kelele hawajui. He deserves 40M kwa mwezi.
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Kwa utajiri gani tulionao? Rais wa Ufaransa anapata $20 alfu kwa mweziSijachangia miaka mingi ila hili la mshahara wa mh Raisi limenigusa. Mh. Magufuli analipwa kidogo sana kulinganisha na other heads of states in East Africa. Predecessor wake "Vasco Da Gama" made a very handsome salary and katuachia UOZO utakaochukua decades kuusafisha. JPM ni mzalendo, wanaopiga kelele hawajui. He deserves 40M kwa mwezi.
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Mkubwa hivyo hujitambui!anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Umeumbwa kuchefua akili za watu. Unafikili mahitaji ya rais ni kula, kuvaa na kulala.anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Watu km wewe lzm utakufa maskinHuo mshahara ni mdogo sana ukiringanisha na kazi anayoifanya magufuli hata akijilipa mil 500 kwa mwezi ni sawa tuu.
Rais Magufuli analipwa Tshs. Milioni 43 kwa mwezi, na mshahara huu ni nyongeza ya Tshs. Milioni 7 ambapo mwaka 2014 mshahara wa rais ulikuwa Tshs. Milioni 36! Marais wastaafu yaani Mwinyi, Mkapa na Kikwete wao wanakula Tshs. Milioni 34 kila mmoja kwa mwezi iwe walale, watembee, wakae kuchwe jua, mvua. Wao ikifika mwisho wa mwezi account zinasoma hadi siku wanaingia ndani ya futi 6.
Kilichotokea jana ni kituo cha clouds kwa kujua fika kuwa ni siku ya wajinga duniani basi wakavamia kuifanya siku hiyo kufana zaidi kwa Tanzania.
Kwa kweli kwa sasa watanzania wamebadilika na au kubadiloshwa sana! Hawahoji tena mambo muhimu kama haya bali wanayapokea tu juu juu. Kila kitakachosemwa kumsifia Magufuli wao huitika "HAPA KAZI TU" Sasa wangi wamekuwa walemavu wa kufikiri.
MCC wametoa sababu za msingi za kuinyima Tanzania Tshs. Trilioni 1. 05 za miradi ya maendeleo Magufuli akatoa matamshi ambayo kimsingi ni kujipa faraja huku wakijua fika kuwa tumekosea wao wakaitika "HAPA KAZI TU"
Kama mshahara wa rais umepunguzwa hayo yangejulikana na vyombo husika tena kwa mujibu wa sheria na siyo kusemwa kwenye kipindi cha soga kwenye kituo cha TV kisha wakaita "official statement" hivi hatuoni kuwa tunajidharau wenyewe?