Papy ndombe
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 3,761
- 4,535
Hio m9 kwa mwezi ndio kiinua mgongo cha wengi kwa miaka 40 ya utumishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suala la mpenzi wangu na uzi huu vina uhusiano gani eti!Nikuulize mleta mada.
Mpenzi wako ni romantic ama anachukua anaweka waaaa"??
Swala la mshahara wa mtu linakuhusu nini?Suala la mpenzi wangu na uzi huu vina uhusiano gani eti!
Ni mahaba tuu ya mziki yamemzidi hii thread anaona kama ni sebene flani hiviSuala la mpenzi wangu na uzi huu vina uhusiano gani eti!
Hapana kiasi anacholipwa yeye na mimi kwa sasa ni sawa sawa sasa nikiomba nyongeza ntampita mkuu[emoji41]Mleta post,
Mwambie akuongezee mshahara.
Tutajie mabaya yake mkuu.Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.
Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.
Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Wewe unasubiri mpk nitumbuliwe utasubiri sana.Kutaja tu haina shida kwan unajua anachukuaga madini ya thaman gan? Akiagiza kuuza tembo mmoja kwa siri wew utajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata huo mshahara kataja hajaonyesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu akiwa ziarani anatembeaga na maburungutu ya pesa, kwan zile zinakuwaga hela zake? JIONGEZE WEWE, ila wakikutumbua nakaimu mm[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Anatumbua sana watu wanafanya kazi kwa hofu mkuuTutajie mabaya yake mkuu.
Kwahiyo Baba swalehe wewe humwamini mkuu wa nchi?Na wewe umeamini [emoji16][emoji16][emoji17][emoji1751][emoji124]
Unashabikia usilolijua, Mshahara wa Pombe hauna kodi ya PAYE, Pombe anakula, anavalishwa, anastarehe kwa kodi yako, na hii pia haina kodi. utamlinganisha na anayepata 15m huku kifungu cha kodi ya mapato section 5 kinamsubiri?Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.
Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.
Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.
Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Hakuna haja ya kuwa na hofu kama huna matatizo.Tatizo la Watanzania tulio wengi ni kwamba tuna makando kando mengi,kwa hiyo kufanya kazi na Rais kama Magufuli,is a nightmare.Mbona akina Majaliwa,Dotto na wengine wameweza?Anatumbua sana watu wanafanya kazi kwa hofu mkuu
Wengine mpk wanashindwa kuapa [emoji23][emoji23]
Mshahara ni wake yy kama jpmKutaja tu haina shida kwan unajua anachukuaga madini ya thaman gan? Akiagiza kuuza tembo mmoja kwa siri wew utajua😂😂😂😂 hata huo mshahara kataja hajaonyesha🤣🤣🤣🤣
Mtu akiwa ziarani anatembeaga na maburungutu ya pesa, kwan zile zinakuwaga hela zake? JIONGEZE WEWE, ila wakikutumbua nakaimu mm😆😆😆😆