Rais Magufuli: Mshahara wangu kwa Mwezi ni Sh. Milioni 9.5. Nitatoa salary slip...

Mishahara iakisi kazi anazofanya mtu na pia izingatiwe kwamba kuna benefits nyingine kwenye maofisi zinazozidi mshahara wa mwezi
 
Kutaja tu haina shida kwan unajua anachukuaga madini ya thaman gan? Akiagiza kuuza tembo mmoja kwa siri wew utajua😂😂😂😂 hata huo mshahara kataja hajaonyesha🤣🤣🤣🤣
Mtu akiwa ziarani anatembeaga na maburungutu ya pesa, kwan zile zinakuwaga hela zake? JIONGEZE WEWE, ila wakikutumbua nakaimu mm😆😆😆😆
 
Alisema atatuletea na salary slip kabisa ilikuwa mwaka 2016

Sasa hivi kapunguza laki tano, halafu nyie mlilie nyongeza ya mshahara🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Tutajie mabaya yake mkuu.
 
Kutaja tu haina shida kwan unajua anachukuaga madini ya thaman gan? Akiagiza kuuza tembo mmoja kwa siri wew utajua[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hata huo mshahara kataja hajaonyesha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mtu akiwa ziarani anatembeaga na maburungutu ya pesa, kwan zile zinakuwaga hela zake? JIONGEZE WEWE, ila wakikutumbua nakaimu mm[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe unasubiri mpk nitumbuliwe utasubiri sana.

Leta Cv yako nikupatie pa kujishikiza
 
Naweza kusema huyu Anko ni mzalendo sana,sijui kama kuna Rais mwingine Afrika anayelipwa hela kama hii.

Anko Magu analipwa mil.9 tuu.kiasi ambacho ni kidogo kuliko hata mshahara wa wabunge ambao wao hulipwa mil 12.

Leo kwenye hafla ya kumwapisha Naibu waziri wa Madini Mh Rais alijikuta akitaja kiasi anacholipwa wakati akiongelea suala la mishahara ya watumishi waliokuwa TMA badae kubadilishiwa sekta watumishi hao ambao rais alidai waliboronga huko TMA wanapaswa wasilipwe mil 10 tena mishahara yao ipunguzwe na kuongeza kuwa asiyetaka aache kazi.Maana kuna wengine wanalipwa mishahara ya ajabu sana.

Kwa mshahara huo wa Magu watumishi wengi mno wenye mshahara kumzidi,nashawishika kusema kuwa Rais magu ana mabaya yake lakini ni Rais bora sana kwenye mambo mengi.
Unashabikia usilolijua, Mshahara wa Pombe hauna kodi ya PAYE, Pombe anakula, anavalishwa, anastarehe kwa kodi yako, na hii pia haina kodi. utamlinganisha na anayepata 15m huku kifungu cha kodi ya mapato section 5 kinamsubiri?
 
Anatumbua sana watu wanafanya kazi kwa hofu mkuu
Wengine mpk wanashindwa kuapa [emoji23][emoji23]
Hakuna haja ya kuwa na hofu kama huna matatizo.Tatizo la Watanzania tulio wengi ni kwamba tuna makando kando mengi,kwa hiyo kufanya kazi na Rais kama Magufuli,is a nightmare.Mbona akina Majaliwa,Dotto na wengine wameweza?
 
Kutaja tu haina shida kwan unajua anachukuaga madini ya thaman gan? Akiagiza kuuza tembo mmoja kwa siri wew utajua😂😂😂😂 hata huo mshahara kataja hajaonyesha🤣🤣🤣🤣
Mtu akiwa ziarani anatembeaga na maburungutu ya pesa, kwan zile zinakuwaga hela zake? JIONGEZE WEWE, ila wakikutumbua nakaimu mm😆😆😆😆
Mshahara ni wake yy kama jpm
Yale maela unayoyaona anatembea nayo ni ya office ya rais
 
Back
Top Bottom