Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

kwa hyo mtu akipotea unataka zipite siku ngapi,ndo watu tutangaziwe kuwa mtu fulani kapotea kweli au katekwa au alikuwa kwa hawara yake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti tunapigwa marufuku tusiseme hiki tusiseme kile! Kwa sheria ipi? Yeye ni nani kuzuia watu wasizungumze? Basi atukamate wote akaturundike magerezani.
 
Kawaida watu wenye madhambi ni watu wa kujistukia...
 
Kwa hiyo taarifa ya mtu kupotea itolewe baada ya kusubili miezi mingapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona waliopotea na kurudi kumekuwa na ukakasi walikuwa wapi?Halafu jukumu la Ulinzi na usalama wa Watanzania ni lako wewe Amiri Jeshi Mkuu.Sasa kama hivyo vitendo havikomeshwi nani wa kulaumiwa kama sio wewe?

Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.
 
Mh anasahau watumishi wa TISS si maraika ni binadamu tunaishi nao wengine madem zetu wengine shemeji zetu kwaiyo hawa madem zetu tukiwakoleza wanaropoka pia wale shemeji zetu dada zetu wakiwapa vizuri wanalopoka

Mfano sasa hivi tupo kuwabembeleza kweli hawa nadem zetu wa TISS watuambie kwanini mh anapenda kuvaa koti moja tu why kwanini?
 
Wewe jamaa si wa kuaminiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…