mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
kwa hyo mtu akipotea unataka zipite siku ngapi,ndo watu tutangaziwe kuwa mtu fulani kapotea kweli au katekwa au alikuwa kwa hawara yake?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app