Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

Rais Magufuli: Mtu akipotea, marufuku kuhusisha vyombo vya Dola, utakamatwa na utoe ushahidi

kwa hyo mtu akipotea unataka zipite siku ngapi,ndo watu tutangaziwe kuwa mtu fulani kapotea kweli au katekwa au alikuwa kwa hawara yake?
Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti tunapigwa marufuku tusiseme hiki tusiseme kile! Kwa sheria ipi? Yeye ni nani kuzuia watu wasizungumze? Basi atukamate wote akaturundike magerezani.
 
Kawaida watu wenye madhambi ni watu wa kujistukia...
 
Ni sawa kabisa,tena itungwe sheria Kali dhidi ya vyombo vya habari vinavyohusika kutoa taarifa za uzushi kama hizi ili Iwe mwisho wa upuuzi huu,mtu amekamatwa let's say na polisi mijitu inasema ametekwa,mtu yuko offline kwa matatizo ya mtandao wanadai ametekwa,hatuwezi kufika kwa kuendekeza upuuzi kama huu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo taarifa ya mtu kupotea itolewe baada ya kusubili miezi mingapi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona waliopotea na kurudi kumekuwa na ukakasi walikuwa wapi?Halafu jukumu la Ulinzi na usalama wa Watanzania ni lako wewe Amiri Jeshi Mkuu.Sasa kama hivyo vitendo havikomeshwi nani wa kulaumiwa kama sio wewe?

Kama wanajiteka wenyewe na kujirudisha sasa yeye atajuaje? Na hao waliotekwa kwa nni wasifungue kesi kuhusu hao watekaji na kuwasema hadhalani ili wakate mzizi wa fitina? Maana wakitajwa mara mbili wataacha, hii mi naona ni mipango ya wao wenyewe kujiteka kisha wanarudi na hawasemi walipokuwa ili wasingizie serikari.
 
Mh anasahau watumishi wa TISS si maraika ni binadamu tunaishi nao wengine madem zetu wengine shemeji zetu kwaiyo hawa madem zetu tukiwakoleza wanaropoka pia wale shemeji zetu dada zetu wakiwapa vizuri wanalopoka

Mfano sasa hivi tupo kuwabembeleza kweli hawa nadem zetu wa TISS watuambie kwanini mh anapenda kuvaa koti moja tu why kwanini?
 
Wewe jamaa si wa kuaminiwa
Mzee mmoja alimpandisha kijana wake juu fensi, akamwambia kijana wake 'ruka chin nitakudaka' kijana akaruka then Mzee akamkwepa,Kijana akadondoka chin, kijana alilia kwa uchungu akamuuliza Baba ake kwann umeniacha nianguke? Baba ake akamwambia nlitaka ujifunze kutoamin mtu/watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom