Sio Tz tu watu wapuuz wanakouawa, Huko UEA,USA,RUSSIA nk huwa hawachek na wanaocheza na national interestsYaani uipende Tanzania mpaka ifike hatua ya kuwaua watanzania wenzako hovyo kama uhai wao hauna thamani, ndio upendo gani?
Kwamba alikuwa sadaka (sacrificed) kweli?Duh...!.
Pia kuna siku nilimsikia akisema amejitoa sadaka...
Kiukweli kauli huumba !.
RIP JPM.
P
Kwa maana alisema sisi ni 'Nchi Tajiri sana,Kama kweli kauli huumba, hii nchi ingekuwa kama Ulaya[emoji205]
Nasikia Magufuli naye aliuawa kwa maslahi mapana ya taifaSio Tz tu watu wapuuz wanakouawa, Huko UEA,USA,RUSSIA nk huwa hawachek na wanaocheza na national interests
Sawa ndio maana hadi leo Mamilioni ya watanzania wako na amani na kwenye msiba wake Taifa zima lilifurahiNasikia Magufuli naye aliuawa kwa maslahi mapana ya taifa
Jidanganye.Hata ukiwa kwenye vyama vya Siri vya kichawi mfano freemason,au umaarufu,au utajiri wa kujitoa kafara,nk nk.
Mda wako wa kifo ukifika huwa unajua na unaambiwa kabisa mwaka huu zamu yako au kafara lijalo ni wewe.
Ipo njia ya kujinasua ukiwa na shida hii tafuta msaada utaupata si kwamba wao Wana nguvu zaidi kuliko upande wa pili,wengi tu waliyavunja maagano yao na wakatoka huko na leo wako huru wazima kabisa.
Ni kweli kuna wapuuzi wanaondolewa kwa maslai mapana ya nchi..Sio Tz tu watu wapuuz wanakouawa, Huko UEA,USA,RUSSIA nk huwa hawachek na wanaocheza na national interests
Naam, hakuna watu wanaouawa na kutupwa baharini tenaSawa ndio maana hadi leo Mamilioni ya watanzania wako na amani na kwenye msiba wake Taifa zima lilifurahi
Yah watanzania sasa wanaishi maisha ya raha na furaha sana.Mama anaupiga mwingi sana.Naam, hakuna watu wanaouawa na kutupwa baharini tena
Huyo aliyehoji elimu unauhakika aliondolewa na serikali?Ukiambiwa ulete ushahidi unaweza?Ni kweli kuna wapuuzi wanaondolewa kwa maslai mapana ya nchi..
Lakini unaweza kumuondoa mtu akihoji elimu yako? Hiyo ni national interest?
Na mambo mengine mengi yamefanyika gizani ya ajabu...
Huko ulikotaja wanaangalia mambo makubwa sana ya kitaifa sio huku kwetu
Hakika, hata ile Happines Index ikitoka Tz haitakuwa ya mwisho tenaYah watanzania sasa wanaishi maisha ya raha na furaha sana.Mama anaupiga mwingi sana.
Nchi now imefunguka,uchumi unakua na pesa zimejaa mifukoni mwetu.Leo hii kila mtanzania anafurahia keki ya Taifa kwa kupata huduma bora kwa bei ya chini zaidi.Mama anaupiga mwingi mnoHakika, hata ile Happines Index ikitoka Tz haitakuwa ya mwisho tena
Umenena, japo wapo wachache waliokuwa wanufaika na ule utawala wa giza ndio wanapigapiga vikeleleNchi now imefunguka,uchumi unakua na pesa zimejaa mifukoni mwetu.Leo hii kila mtanzania anafurahia keki ya Taifa kwa kupata huduma bora kwa bei ya chini zaidi.Mama anaupiga mwingi mno
Yah now democracy imerudi, hakuna kubambikiza kesi wala nini.Huduma za kijamii zimerudi sehemu nzuri. Maji,umeme, Afya na vingine now viko vizuri mno kuliko wakati wa dikteta Magufuli.Umenena, japo wapo wachache waliokuwa wanufaika na ule utawala wa giza ndio wanapigapiga vikelele
OK tufanye amejipoteza mwenyewe..Huyo aliyehoji elimu unauhakika aliondolewa na serikali?Ukiambiwa ulete ushahidi unaweza?