Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Labda ww na familia yako ndio mnamtaka,pls Semea nafsi yako lkn sio ya waTz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Amesema yeye ni Rais aliye apa kulinda na kutumikia katiba.
Hata Mtani wake Ngonyani aliposema aongezewe miaka 20 amemuelewa kuwa ana maanisha aongezewe miaka 20 ya kuishi...
Kwa hiyo yeye ataendelea kuheshimu na kulinda katiba.

Fafanua hapo, Ngonyani alimaanisha nini kwa rais?
 
kwani katiba haiwez badilishwa? Maana tulitakaga katiba mpya ikapozwa kwanza,labda ikija itazingatia hilo la kuongeza kamuda. Mahasimu ni wengi siku mtu anarudi kijijini sijui mabaradhuli yatakuwa yameokoka!!
 
Wewe magufuli sio wakumfananusha bora ata mimi ningeweza fanya vzr kuliko yeye magu kwanza ni favaratism/nepotism kwa issue ndogo tu ya cheti mbona bashite ahashugulikiwa, haya uvamizi wa clouz kumpatanisha muharifu na luge wakati mwarifu alipaswa kushughulikiwa. Lastly uyu MTU toka ameingia ameonyesha kushindwa kabisa bidhaa zimepanda mfano sukar etc

Sent using Jamii Forums mobile app
 

mkuu waliosema anaongezewa muda, uliwaamini? au wewe ndio una tatizo la kuamini ila kinachosemwa?
 
Sikuwaamini.

Mbona haya kwa JK kuna waliojipendekeza wakijifanya wanampenda sana?

hao wanaowaza hayo huwa ni wachawi na wanajipendekeza tu

hatatokea rais nchi hii kujiongezea muda

washindwe, na rais leo kawaaibisha
 
Kama hili hukulijua nakukumbusha tena moja ya Kauli ambayo Hayati Baba wa Taifa aliitoa wakati akizungumza na Waandishi wa Habari ambapo alisema kuwa namnukuu " kutokana na Vyama vingi vya Upinzani nchini kuonekana bado havijajipanga huenda siku ambayo CCM itamsimamisha Mgombea wake basi ikawa pia ndiyo imemtangaza Rais wa Tanzania " mwisho wa kumnukuu na uzuri ni kwamba Kauli hii ipo katika hiyo Hotuba itafute ujiridhishe mwenyewe.


Hio kauli baba wa taifa aliitoa mwaka gani na hii leo tunapoandika hivi unaamini bado kauli ya Nyerere ina impact,hizi ni zama nyingine erooo

Nyie ndio bado mnaamini watz ni wale wa miaka ya 47



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo kumi vipi,,miaka si ni mitano

Bless I
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firaoun, yani mbumbu wa CCM wanamuwazia dictator uchwara kuongezewa muda hali yakuwa hata hiyo miaka 10 yenyewe inayotambulika kikatiba kunauwezekano mkubwa wa kuikosa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inafanana tu na kauli hizi:
.......sitowachagua wapinzani.......
.......nitapandisha madaraja na increments zote za wafanyakazi mwaka huu......
Lipi jipya unataka kusikia kwa wanasi-hasa!!!
Ahh wapi, hana ubavu huo, mpaka abadili katiba na akibadili hata ccm wenyewe watampinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa wanakanusha then inatokea wanang'ang'ania kwa kigezo kuwa nimeelemewa na watu wanaotaka nibaki madarakani kwahiyo nimewaagiza wapeleke muswada katiba ifanyiwe marekebisho. Nitakuwa wa mwisho kuamini mpk nione ikitokea hivyo. Kwa haya tunayoona mmmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…