atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Labda ww na familia yako ndio mnamtaka,pls Semea nafsi yako lkn sio ya waTzKama hataki ni yeye sisi bado tunamtaka akae miaka 20 ikiwezekana bila uchaguzi kwani katiba si msahafu tubadilishe tu hicho kipengele. Lengo ni tumpe muda wa kutosha akamilishe yote mazuri aliyoanza ili atapoondoka tuwe na akili ya kuyaendeleza big up mzee
Sent using Jamii Forums mobile app