....Vema sena, asijekubadili mawazo dakika za majeruhi kama Pius Msekwa.Rais JPM hatimaye amekata mzizi wa fitina akiwa Korogwe leo
Asema ataheshimu miaka ya Urais kulingana na katiba ya Tanzania
ahaha si mako alimuanzishia kampein ya abaki? hahaha amegundua wataz tunamuangalia tu tukiamua twawezaRais JPM hatimaye amekata mzizi wa fitina akiwa Korogwe leo
Asema ataheshimu miaka ya Urais kulingana na katiba ya Tanzania
bora iwe hivyo hawa ccm pamoja na kutuchezea akili miaka 55 na ushee wanatukejeli kwenye majukwaaHivi mnafikiri kubadili katiba ni jambo la mchezo mchezo. .....hilo jambo haliwezi kutokea bila damu kumwagika ....na huenda ukawa ndio mwisho wa amani ya Tanzania.
Hii inamana kama katiba ikibadilishwa na kumuongezea muda ataifuata katibaRais JPM hatimaye amekata mzizi wa fitina akiwa Korogwe leo
Asema ataheshimu miaka ya Urais kulingana na katiba ya Tanzania
Kila mtu apambane na hali yakeHii inamana kama katiba ikibadilishwa na kumuongezea muda ataifuata katiba
afanye tuone jeuri yakeMadictator wasiotaka kuondoka madarakani hufanya mabadiliko ya katiba mwishoni yaanj 2023 ikifika ndo mipango inaanza sio sasa hivi kwakweli
Huu uzi utakua muhimu sana ifikapo 2025,Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
ndo akili zake hizo wakati wananchi wenyewe huwa anawatuma wasimamishe misafara yake na mabangoANATAKA ASEME AMESIKILIZA MAOMBI YA WANANCHI WENGI!
AMEONA AKUBALI TU KUENDELEA HATA BAADA YA MIAKA 10 KUISHA!
ahahahahhahahaa yale yale ya WANANCHI WAMENITUMA NIGOMBEE UBUNGE!
ah mtajijua wenyewe bana!
Rais JPM hatimaye amekata mzizi wa fitina akiwa Korogwe leo
Asema ataheshimu miaka ya Urais kulingana na katiba ya Tanzania
Chuki zako kwa ccm zisikufanye uichukie nchi.bora iwe hivyo hawa ccm pamoja na kutuchezea akili miaka 55 na ushee wanatukejeli kwenye majukwaa
naichukia ccm na mambo yake yote naipinga na mm si mwanachama wa chama chochoteChuki zako kwa ccm zisikufanye uichukie nchi.
Tujiulize kwanza je tuna vyama vya upinzani vya kueleweka...?