Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

Ina maana upinzani na ndoto za mamvi zimezimwa, ana uhakika wa kushinda uchaguzi ujao.
 
Safi sana ila anakumbuka kuwa alitamka hadharani kuwa anajuta kugombea?
 
Je akibadilisha katiba? Ni ngumu kuwaamini wanasiasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

 
Kwani ni miaka kumi au mitano? Huyu baba hajui kuwa 2020 tunapimana ubavu?
 
Haelewekagi huyu akiwa Zenji aliapa kuteua wapinzani kwenye serikali yake majuzi kaikana kauli hiyo kuwa ilitakiwa ieleweke aliitamkia akiwa wapi. Hata hivyo huyu mzee kachoka hata hii miaka mitano ishamtoa pumuzi kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kina Kagame walianza kwa kusema wanaheshimu katiba.Ndiyo maana katiba ilibadilishwa ili waendelee kuiheshimu.
 

Umejuaje kana hawezi kuyakamilisha ndani ya miaka 10 bali ishirini?
 
Sasa hiyo picha inasaidia kutoa ushahidi wa alichokisema kwa namna gani?
 
Kwanza alianza kusema anajuta kugombea.Akaja akasema anatamani urais ungekuwa miaka miwili na nusu.Akaja akasema natamani niondoke baada ya muula mmoja.Leo anasema atakuwepo kwa miaka 10...Utamu taratiibuuu unakole kama walivyoanza kina Kagame na Nkuruzinza!
 

Hivi kati ya wananchi na yeye ni nani ana mamlaka ya juu ya kuamua kuongeza muda au la?
 
pye Chang shen unataka kusema kuwa kati ya wanachama 8m+ hakuna mwanaccm mwenye weledi wa kutuvusha hiyo 2025 to 2035 mpaka awe Magufuli!?
Exactly uthubutu alionao magufuli sidhani kama yupo mwingine mfano tuchukulie aliyoyasema pale raskazone tanga kuhusu mji wa tanga ni kweli tupu na sikuwahi kumsikia kiongozi japo wa mkoa akiyasema big up mzee
 
hahahahahahaha................................................. mwisho wa yote ataomba tumuombee mungu abaki hahaha
 

Nilivyoelewa ni kuwa hawezi kukaa zaidi ya miaka aliyopangiwa na katiba yaani wananchi ambayo ni miaka 10, ila hajasema atashinda uchaguzi wa 2020. Na iweje aseme mitano wakati ana fursa ya kuongeza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…