Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unajua kuwa 2020 hamna shughuli eeh, safi! Waelimishe na wengine.Huu uzi utakua muhimu sana ifikapo 2025,
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.

Tuna Subiri Utekelezaji Wa Kauli.
Maana Huyu Mtu Si Wakumuamini
Hata Kidogo. Alisema Hatochagua
Wapinzani Katika Utawala Wake.
Lakini Hakumbuki Kauli Yake Sasa
Anateua Na Kuita Wengine Vilaza.
Naomba Post Hii Iwekwe Kwenye
Kumbukumbui Za JF.
Just A Matter Of Time.
Kama hataki ni yeye sisi bado tunamtaka akae miaka 20 ikiwezekana bila uchaguzi kwani katiba si msahafu tubadilishe tu hicho kipengele. Lengo ni tumpe muda wa kutosha akamilishe yote mazuri aliyoanza ili atapoondoka tuwe na akili ya kuyaendeleza big up mzee
Bashite na wafuasi wakeSasa awaambie wale wa kampeini ile wasitishe
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Its official kuwa Magufuli hataongeza muda wa kukaa kwenye kiti cha urais. Hii kauli imemaliza wasiwasi wa watu wote waliokuwa na speculation kuwa Rais anaweza kuongeza muda wa kukaa madarakani.
Exactly uthubutu alionao magufuli sidhani kama yupo mwingine mfano tuchukulie aliyoyasema pale raskazone tanga kuhusu mji wa tanga ni kweli tupu na sikuwahi kumsikia kiongozi japo wa mkoa akiyasema big up mzeepye Chang shen unataka kusema kuwa kati ya wanachama 8m+ hakuna mwanaccm mwenye weledi wa kutuvusha hiyo 2025 to 2035 mpaka awe Magufuli!?
hahahahahahaha................................................. mwisho wa yote ataomba tumuombee mungu abaki hahahaKwanza alianza kusema anajuta kugombea.Akaja akasema anatamani urais ungekuwa miaka miwili na nusu.Akaja akasema natamani niondoke baada ya muula mmoja.Leo anasema atakuwepo kwa miaka 10...Utamu taratiibuuu unakole kama walivyoanza kina Kagame na Nkuruzinza!
shangaa
Kwanza alianza kusema anajuta kugombea.Akaja akasema anatamani urais ungekuwa miaka miwili na nusu.Akaja akasema natamani niondoke baada ya muula mmoja.Leo anasema atakuwepo kwa miaka 10...Utamu taratiibuuu unakole kama walivyoanza kina Kagame na Nkuruzinza!
Kwani akina Mkumbo ni wapinzani?Aliwai kusema pia kwenye serkali yake hatateuwa mpizani sote tumeona akina mkumbo mimi ata simwamini uyu jamaa
Sent using Jamii Forums mobile app