Rais JPM hatimaye amekata mzizi wa fitina akiwa Korogwe leo
Asema ataheshimu miaka ya Urais kulingana na katiba ya Tanzania
January baby!!!!Aibu ya Mzee Mwinyi,Maji Marefu na taka taka zote zilizokuwa zinapigia upatu nyongeza ya muda wa muhula by 2025!
Halafu yule ndezi wa OP ya BAKI MAGUFULI aweke tako lake chini...
2025 tunawaletea jembe lingine!
Aah wapiiii kama magufuli hakuna huo ndio ukwelikwani tangu awamu ya kwanza ilipoanza,kila awamu ilimaliza yote mazuri waliyoanza,acha kujitoa ufahamu wapo watanzania wengi wenye uwezo zaidi yake,labda kama akiliyako imeganda tu kwake.
Nina hakika walikua wanajua ila walisahau sasa kwa kuwa katiba si msahafu tuwakumbushe wabadiliWalioweka ukomo wa miaka 10 hawakujua muda wa kupevuka wa binadamu?
angeongeza aone
Nitaondoka baada ya Miaka mitano endapo sitochaguliwa tena kama alivyosema Kenyata. Ah nimesahau umeuliza swali la mtego!!!!!Ulitaka asemeje?
kama ccm inavyotuibia kura iendelee kutuingiza chaka!!!!Sio sawa na chama cha demokrasia ambacho mwenyekiti wake ameibaka katiba na kuondoka ukomo wa uongozi.....!!!!
Mimi sio mtanzaniaUlitaka asemeje?
Yaani ameshajiapisha tayari kwamba Ni mshindi 2020?? Haoni kwamba Kwa kusema ataondoka baada ya Moana 10 Ni kiburi na kulidhihirishia taifa kwamba uchaguzi sio hoja ya msingi kwake?
Je Magufuli ametumia tathmini gani iliyompa uhakika kwamba 2020 lazima ashinde? Je Ni bomba la mafuta toka Uganda to Tanzania?
Magufuli acha kusigina katiba nani amekuambia tayari Wewe Ni Raisi wa miaka 10? Ujue viburi kama hivi Mungu huvifanya viishie kwenye fedheha....
Hata kusema nitaondoka baada ya miaka 10 Ni usanii kumfunika mtanzania asiyefikiri mbali asijue adhma yako ya moyoni.....Tungeweza kuupasua moyo wako tukaona unachokiwaza physically tungegundua uko nyuma ya haya Mambo yote.....mfano Magufuli baki.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ishakua 10, si ulituambia unataka mitano baba, tuonee huruma .