Rais Magufuli relax, hawataki Urais wako bali wanataka ujivuruge

Rais Magufuli relax, hawataki Urais wako bali wanataka ujivuruge

Mbaya zaidi hata wewe mwenyewe umepanick ndio maana kwa mara ya kwanza umeanzisha thread.
 
Kwako Mh. Rais John Pombe Magufuli

Leo kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nimeamua kuweka mada kwenye hii forum. Ni kwa ajili yako mkuu.

Nimeshawishika kuweka mada hii maalum kwa ajili yako hasa baada ya leo kuingia humu Jamii Forum na kukuta mada nyingi (posts)zisizopungua kumi (10) zikijadili au zikilenga KUMNADI Ndugu BERNAD MEMBE kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania mwaka 2020.

Mh. Rais, Najua watu wako wapo humu, Namimi nawaomba kwa heshima sana wakufikishie ujumbe huu wenye TAHADHARI, USHAURI NA KUKUTIA MOYO.

Mh. Rais

1. Hawataki Urais bali wanataka UCHUKIE na uwachukulie hatua ili wapate pa kuanzia
Wao sio wajinga wanajua ni mapema sana kuanza chokochoko za urais na wanajua hata wakiutaka hiyo 2020 kwa utaratibu wa chama chenu hawawezi kupata. ILA wanafanya hivyo kwasababu kwa kiasi fulani wamekusoma tabia yako kuwa huwa unachukua hatua kali sana tena kwa haraka sana.

Any Panicky Reaction upon them utakuwa umewapa ushindi. Kusudio hapo ni wewe uwape sababu ya kukuita majina haya Diktekta,Muuaji, Hapendi kukosolewa,Anataka urais milele n.k. Baada ya hapo Wanaharakati, Mashirika ya Haki za kibinadamu hasa ya kimataifa wataingilia na kukuwekea vikwazo na kukuharibia.

PLEAAASE Mheshimiwa Rais nakuomba sana aidha UWAPUUZE KABISA au uwashughulikie in a very prudent way. Wanacheza mchezo wa akili.. CHEZA NAO.

2. SIO WAO KUNA WATU NYUMA YAO

Mhe. Rais, Unajua wazi kwamba upo kwenye vita ngumu dhidi ya Mabepari ambao wameapa kuvuruga utawala wako kwa gharama yoyote ile hata ikiwa ni kutumia watu wa chama chako mwenyewe.

List ya majina iliyotolewa na Cyprian Musiba sio ya kuipuuza sana. Ni watu wenye hasira na wewe na watu waluoumizwa kwa namna moja au nyingine kwenye maslahi yao binafsi na mtindo wa uongozi wako hivyo ni rahisi sana kwa wao kununulika na kukubali kuiharibu nchi.

NAOMBA SANA..Usireact kwa wepesi bila kuchimba zaidi wengi wao unao humohumo kwenye chama na mnajuana vizuri.

3. KUSUDIO NI KUKUTOA KWENYE RELI (To Make you Lose Focus)
Mpaka sasa upo kwenye njia sahihi. Mapungufu yapo hata me nayaona ila tutayaongelea siku nyingine kwa leo ni muhimu wewe ujue kuwa wanataka kukutoa kwenye right track uanze kuoambana nao ili wpate headlines z kutosha kwenye media then wataanza kuomba External Intervention then it's over KUFUMBA NA KUFUMBUA TUKO LIBYA.

SO FAR YOU ARE THE BEST PRESIDENT. PLEASE BE CAREFULY
safi sana mkuu, very smart thinking
 
Chokochoko gani wewe choko acha kutisha watu kwa ufala wako
Ukinya usikimbie harufu ya kinyesi chako.!
Itakapo kulazimu utazoa au utakabiliana na harufu yako mwenyewe.
Hakuna sehemu yoyote katika maelezo yangu nimetumia lugha ya kuudhi ama matusi. Aina ya maneno mnayoyatumia kujibu hoja inawapa fursa wenye utambuzi kujua umri wenu na hulka zenu.
 
Mimi goodfoool , sielewi lolote linaloendelea juu ya hizi nyimbo za BM BM BM BM, Magufoool si ndo rais au anataka kuacha kazi??
[emoji41][emoji41]
 
Mkuu hayo mabepari ni majitu hatari sana. Hayakati tamaa haraka, yamemtafuta Ghadafi zaidi ya miaka 20, yameitafuta roho ya Hugo Chavez miaka kibao.

Cha muhimu mjomba Magu amlinde Membe asidhuriwe hata na nzi watakosa sababu.

Majamaa ujue yanaumia sana kuona mwaka wa 3 huu kule kwenye diamond na makinikia hawapigi mpunga mrefu. Kwenye gesi yamejaribu kwenda Mozambique lakini hakuna amani uwekezaji ni wa mashaka kutokana na usala duni.
Ni kweli, ila tunahitaji mfumo mzuri wa kuchagua viongozi na siyo mtu aamke na kujiamlia kusema mi nafaa kuwa rais au naonesha nia ya urais, tunahitaji vyombo husika vifanye vetting hata kwa miaka 10, viandae mhusika bila kujali makindi kama ilivyokuwa kwa Dr. Magufuli. Tukiweza hilo mabebari watashindwa kutufahamu, na tutapiga hatua.
 
Mungu yuko na Rais wetu.
Watahangaika sana na HAWATOSHINDA KAMWE.
 
Kwako Mh. Rais John Pombe Magufuli

Leo kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nimeamua kuweka mada kwenye hii forum. Ni kwa ajili yako mkuu.

Nimeshawishika kuweka mada hii maalum kwa ajili yako hasa baada ya leo kuingia humu Jamii Forum na kukuta mada nyingi (posts)zisizopungua kumi (10) zikijadili au zikilenga KUMNADI Ndugu BERNAD MEMBE kuwa mgombea wa Urais wa Tanzania mwaka 2020.

Mh. Rais, Najua watu wako wapo humu, Namimi nawaomba kwa heshima sana wakufikishie ujumbe huu wenye TAHADHARI, USHAURI NA KUKUTIA MOYO.

Mh. Rais

1. Hawataki Urais bali wanataka UCHUKIE na uwachukulie hatua ili wapate pa kuanzia
Wao sio wajinga wanajua ni mapema sana kuanza chokochoko za urais na wanajua hata wakiutaka hiyo 2020 kwa utaratibu wa chama chenu hawawezi kupata. ILA wanafanya hivyo kwasababu kwa kiasi fulani wamekusoma tabia yako kuwa huwa unachukua hatua kali sana tena kwa haraka sana.

Any Panicky Reaction upon them utakuwa umewapa ushindi. Kusudio hapo ni wewe uwape sababu ya kukuita majina haya Diktekta,Muuaji, Hapendi kukosolewa,Anataka urais milele n.k. Baada ya hapo Wanaharakati, Mashirika ya Haki za kibinadamu hasa ya kimataifa wataingilia na kukuwekea vikwazo na kukuharibia.

PLEAAASE Mheshimiwa Rais nakuomba sana aidha UWAPUUZE KABISA au uwashughulikie in a very prudent way. Wanacheza mchezo wa akili.. CHEZA NAO.

2. SIO WAO KUNA WATU NYUMA YAO

Mhe. Rais, Unajua wazi kwamba upo kwenye vita ngumu dhidi ya Mabepari ambao wameapa kuvuruga utawala wako kwa gharama yoyote ile hata ikiwa ni kutumia watu wa chama chako mwenyewe.

List ya majina iliyotolewa na Cyprian Musiba sio ya kuipuuza sana. Ni watu wenye hasira na wewe na watu waluoumizwa kwa namna moja au nyingine kwenye maslahi yao binafsi na mtindo wa uongozi wako hivyo ni rahisi sana kwa wao kununulika na kukubali kuiharibu nchi.

NAOMBA SANA..Usireact kwa wepesi bila kuchimba zaidi wengi wao unao humohumo kwenye chama na mnajuana vizuri.

3. KUSUDIO NI KUKUTOA KWENYE RELI (To Make you Lose Focus)
Mpaka sasa upo kwenye njia sahihi. Mapungufu yapo hata me nayaona ila tutayaongelea siku nyingine kwa leo ni muhimu wewe ujue kuwa wanataka kukutoa kwenye right track uanze kuoambana nao ili wpate headlines z kutosha kwenye media then wataanza kuomba External Intervention then it's over KUFUMBA NA KUFUMBUA TUKO LIBYA.

SO FAR YOU ARE THE BEST PRESIDENT. PLEASE BE CAREFULY
Unamzungumzia musiba kukusudia kumtoa mh rais kwenye reli au?
 
Kwako Mh. Rais John Pombe Magufuli

Leo kwa mara ya kwanza toka nijiunge na JF nimeamua kuweka mada kwenye hii forum.

2. SIO WAO KUNA WATU NYUMA YAO
Mhe. Rais, Unajua wazi kwamba upo kwenye vita ngumu dhidi ya Mabepari ambao wameapa kuvuruga utawala wako kwa gharama yoyote ile hata ikiwa ni kutumia watu wa chama chako mwenyewe.

List ya majina iliyotolewa na Cyprian Musiba
.

3. KUSUDIO NI KUKUTOA KWENYE RELI (To Make you Lose Focus)
ujue kuwa wanataka kukutoa kwenye right track

SO FAR YOU ARE THE BEST PRESIDENT. PLEASE BE CAREFULY

1. vita ngumu dhidi ya Mabepari
Hii ni lugha ya kizamani sana ambayo niliisikia wakati nikiwa mdogo sana, hii iliharibu mentality ya watu na imepelekea watu kuwa maskini, tuliaminishwa matajili (mabepari) ni watu wabaya, wanyonyaji kwa hiyo tukaanza kuwajengea watu fikra kwamba umaskini ndi big deal, this was wrong and it should not be repeated. Kwa hiyo unapokuja na mawazo ya miaka ya 60 yaliyotupelekea nchi kuwa maskini unaturudisha nyuma change you mindset, sasa hivi nchi inahitaji matajiri kuliko muda mwingine wowowte, ajira zinazalishwa na matajiri, vyanzo vikubwa vya kodi ni matajiri. Mawazo mgando haya ndo yanapelekea kumteka mtu prominent kama Mo Dewji eti unapambana na mabepari !! upuuzi na ujinga uliopitiliza.

2.List ya majina iliyotolewa na Cyprian Musiba
Huyu ni mtu kichaa, nonsensical, kama unamuunga mkono mtu huyu nakutoa ktk kundi la watu wenye utimamu

3. wanataka kukutoa kwenye right track

Right track unayosema hapa ni ipi?, kitu kimoja tu alichofanya na mimi nakubaliana naye kwa asilimia 100 ni kuzuia mauaji ya tembo basi, vingine vyote he is a failure. Right track ya kutoheshimu sheria za nchi na kukanyaga katiba? right track ya kufanya upendeleo chato na kuridharau bunge? right track ya kushamili vitendo vya utekaji ambavyo tunajua mratibu ni yeye? right track ya kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari na vyama vya upinzani? What kind of right track are you talking about?

4.SO FAR YOU ARE THE BEST PRESIDENT.

This is absolutely ridiculous!
 
Nahsauri wote wenyeviti wa vyama vya siasa hapa Tz waendeleee na uongozi wao kila moja alipo.............
 
IMG_20181029_110625_527.jpg
 
Mwaka huu wa JPM ni wa mwisho. Akivuka basi hakuna kitakachomtoa kwenye reli. Ila akiyumba amekwisha na watanzania tumekwisha maana najua mabebari yanajua uzuri/umahiri wa kiongozi huwa ni miaka 3, yakimshindwa huwa yanakata tamaa. Naamini anawashauri wa UWT wazuri sana.
hahhah lazima utakuwa una ugonjwa fulani kichwani hahaha yani mwaka huu ni wa mwisho kwakuwa utampindua? hahahaha Magufuli ni mwenyekiti wa chama hahahahah
 
Hapo kwenye namba #2 mtu hatari mwingine aliyejitangaza bahati mbaya baba jesca kampa uteuzi ni Dc Ally Happy.
 
Atapata support yetu atakapoheshimu demokrasia kwani ndio iliyomuweka madarakani. Lakini kitendo cha kuchezea box la kura kwa kulazimisha kila mgombea wa ccm kutangazwa mshindi, hata mlete utetezi dhaifu eti anapambana na mabepari mtasubiri sana. Hawezi kufuata taratibu ngoja tuwaunge mkono hao wezi kina Membe na yeye akae pembeni kwani sio msafi.

Imedhihirika hao mafisadi anaosema anapambana nao sio kweli bali analipa visasi kwa aliohitilafiana nao huko nyuma. Kama kuna fisadi yoyote kashitakiwa kwenye mahakama ya mafisadi ntaje. Zaidi ya kubambikizia kesi wapinzani na kuwadhalilisha jipya ni lipi? Aache bunge na mahakama zitende kazi zake kwa mujibu wa sheria za nchi na sio utashi wake, hapo atapata support yetu. Aheshimu box la kura bila kusahau.
Kwa hiyo mumeona Tundu Lissu hafai tena mumehamia kwa Membe?
 
Back
Top Bottom