Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Sio kweli mkuu IQ yake haiko 100% ipo angalau 60%.
 
Alijiandaaa vizuri halafu ana confidence wengine sikuona kama wana confidence.Nadhani Rais pia atakuwa kamuelewa sana Mukandara
 
Yaan kama angekuwa mwanangu huyu, leo angenitambua ..!

Puuzi kabisa
 
Mkuu
Mkuu kwa Mpwapwa ni maeneo gan labda.maana Mimi sijaona.
 
Hivi kuna mtu alitarajia waongee tofauti na walivyoongea? Watawala wa nchi zetu za dunia ya tatu sio wavumilivu wa mawazo kinzani mtu anaweza kujikuta anapoteza kazi hivi hivi au hata marinda hususani wasiojulikana wakifanya yao
 
Hahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nmejikuta nacheka eti elimu ilitoka kagera ikaja hapo Musoma hahahahaha tusingewatupa majeshini mkapige pishapu mngekuwa na maprofesa wanao jielewa sio wale wakina Mhongo au muogo?

Sasa hutaki au? Wana Kagera ( Bukoba ) wenyewe wanatambua kuwa Makao Makuu ya Elimu na Wasomi ipo Mkoani Mara na kwa wana Mara ( Musoma ) kama uko nao hapo jirani waulize watakupa majibu.

Watani zangu Wahaya mpo?
 
Sasa nimeanza Kumuelewa Mtani wangu wa Mkoani Singida Mheshimiwa Mbunge Tundu Lissu juu ya hawa ' Maprofesa ' wetu hasa hawa wa Tanzania.

Shikamoo Tundu Lissu popote pale ulipo!

Kwa usema kweli hawa watu shule wanazo tena ndefu sana, wengi wanapo hisi mkate wao unaweza kudondoka na kutiwa mchanga shule wanaiweka pembeni akili mfukoni mambo na upepo mpaka ukipita ndo wanakumbuka ukweli
 
Huyu shomile katisha sana aisee natamani kupata had copy yake ni some.
 
Huyu Mama profesa ameongelea kuhusu kilimo na kamari nimemwelewa sana....kwamba tunajenga Taifa la vijana kucheza kamari yaani njia za mkato....anasema kijana hawezi hata kutengeneza bustani lakini kila siku anabeti.....

Nimependa zaidi toka anaanza kuongea hakuna alipomtaja Magufuli wala kusifia awamu ya Tano. Yaani amechangia kama Magufuli hayumo humo ndani..... kweli ku na Watanzania wanajielewa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…