Labda hiyo 60% ni yako, ya Mkeo na wana Ukoo wako wote ila narudia tena kusema kwa namna ya ' Uwasilishaji ' wake nina uhakika kuwa IQ ya Profesa Mkandala ni ya 100% na ya wale Maprofesa wawili nikiwapa sana basi nawapa 8% tu kwani sijaona walichokiwasilisha ' sensible ' na ' logical ' ila katika Kutetemeka, Kubabaika na Kujipendekeza nawapa 100%.
Hilo ndo lengo haswaa!!Rais anatajwa kila sekunde na wachangiaji,hii siyo sahihi!
Huyu shomile katisha sana aisee natamani kupata had copy yake ni some.
Tumsifu Yesu Kristo.
Illogical kabisa.Yaani mawzo yako ni pumba sana.Katika hili nakupinga.Mukandala amezungumza vema, tena vizuri tu. Lakin bado amezungumza kwa woga. Woga sio kitu kizuri kwa maendeleo ya taifa.Alitakiwa azungumze yote anayoona ni sahihi.Lakin najua huwezi kuelewa kwa kuwa wewe ni mwana Fisiem. Ila amini nakwambia Mukandara ameongea vitu vichache sana.Anaonekana hataki kumkwaza mtu mkubwa kitu ambacho kimerudisha nyuma
Ukiipata mpatie Mtu aniletee nami hadi hapa Kisiwani Puerto Rico nilipo sasa kama makazi yangu ya Siku zote.
Kwa hiyo kabla ya mwaka huo wa 1884 palikua na miradi ya reli wazungu wakaizuia??Profesa hashauri kisomi!!, unafahamu kuwa hapo wamepewa dakika kumi na tano tu?.
Wazungu wa ulaya waliligawa bara letu mwaka 1884 kule Berlin, hii mipaka ya sasa ya nchi za afrika iliwekwa na wazungu. Ni kwa sababu tu ya maendeleo ya ustaarabu vinginevyo mpaka leo tungekuwa chini ya ukoloni.
Mzungu hapendi kuona nchi za kiafrika zikijenga reli, zikiimarisha miundo mbinu ya kila aina. Unaweza usiamini ninachosema lakini kwa maoni yangu huo ndio ukweli.
Angekuwepo hapo kuna watu wasinge hudhuria kabisaaMchumi zitto wamemfunga ili asishiriki
Ccm uniform, hilo ni kongamano la chama?I will be counteracting & intelligently opposing you with vivid facts..!! Ukiona mtu mrefu strong & colored na in CCM uniform ndio mm..!! Plz usikae beside me anything painful and unethical can happen..!!😳
jamaa unavyo wakaanga najikuta nawaona kama bashite tu kumbe wamenizidi mbali sana.
siamini leo nimejiona nna akili/uwezo kuliko mushi/qorro, asante sana mtoa bandiko kunifanya leo nijione mtu.
Lubuva, wauliza maswali wamepitia mchujoMtoto wa lubavu naona anaongea pumba tu yaan hii nchi kero Sana aisee naona aibu tu yaan hapo waliandaliwa tayal wa kuuliza maswal maana hakuna alietoa point Zaid ya yule mchungaji