Kabudi ni mjinga sanaa.Hivi hawa maprof.wetu wanamatatizo makubwa sana.Aiseee inasikitisha sana.Sielewi hata anaongea nini Kabudi
Mapambio hoyeeeeeee
Mkuu wenu wa mkoa anamjibia rais,Kongamano hoye.
Kabudi ni mjinga sanaa.Hivi hawa maprof.wetu wanamatatizo makubwa sana.Aiseee inasikitisha sana.
Ukijalibu kuona hata hata hajaribu kutoa mapendekezo ya nini kifanyike lakin anasifu tu.Haoni mwenzie prof Shivji.? Kweli kwa namna hii kama kuna mtu anategemea Noah za Barrick basi afute kabisa mawazo yake.
Kampa hasaa....Amemsifia kujumuika nao tu sio kwa kazi anazozifanya [emoji1] [emoji1]
Mbona kama wanachanguana au kuna watu wamepangwa?
Kila nikinyosha mkono hawanichangui.
Bora niende zangu home maana naona Hawa wanaopata wasaa hata hawanikongi moyo
Ndiyo mkuu ni KM 300 kumbuka hiyo Reli inazinguka sana.Huyu Kabudi amedanganya SGR Dar - Morogoro ni Kilometre 300?
Mwezi uliopita uliandika kuhusu Usumbufu wa Daladala za Gongola Mboto kwenda Makumbusho, sasa hivi ushapaa hadi Puerto Rico
Nitashukuru sana Mkuu kwani huku Kisiwani Puerto Rico na huko uliko Tanzania ni mbali mno hivyo nitakushukuru nami nikipata hiyo ' hard copy ' ya ' Presentation ' ya Profesa Mkandala. Nisalimie mno huko Tanzania uliko!