Wewe mkimbizi unatokaje Mara? Elimu ilianzia Kilimajaro kama ulikua haufahamuNaomba aliye karibu / jirani na Profesa Mkandala ( Mtani wangu wa Kihaya ) ampe mkono wa hongera kwa niaba yangu na amwambie kuwa GENTAMYCINE nimemkubali na namkubali sana kwani ' uwasilishaji ' wake umenifanya nione tofauti kubwa kati ya Msomi wa Chuo Kikuu na Mhitimu wa Chuo Kikuu.
Ni Mwerevu sana
Ni Mzungumzaji mzuri
Ni Mkweli na hana Unafiki
Ni Mwenye Kujiamini na anakiamini kile anachokiwasilisha
Ni Mchambuzi wa Masuala aliyetukuka
Ni Hazina ya kweli kwa Wasomi wajao
Ni Mwanafasihi mzuri sana huku akijua kucheza vyema na ' Diplomatic Language '
Sijawahi kuona Mhaya ' Popoma ' na sishangai kuona au kusikia kwamba hata hapa Tanzania Elimu ilianzia Kwao Mkoani Kagera ( Bukoba ) ikaja kuweka Makao Makuu yake Kwetu Mkoani Mara ( Musoma )
Shikamoo Profesa Mkandala.
halafu walikuwa wana ..kipindi mmoja waziri mwingine mkuu wa chuo SautKitima ajipange..maana Bash boy kaova react na mzee baba kam crush,off road
Ni mzushiUnataka umfahamu nini?
ha ha ...afanye wepesiMungu tu aingilie kati
Kikubwa ni kwamba kongamano kilipangwa Kuwa hivyo. Huyo mgeni mkuu ilikuwa asizungumze kabisa lakini alimpanga Prof Kabudi kutoa taarifa ya kiutwndaji ya miaka mitatu. Hatimaye kama ilivyokuwa 'imepangwa' mheshimiwa wa magogoni naye sasa anazungumza na watanzania kupitia kongamano hilo.Kabudi hajadili Mada ya kongamano kabuni mada yake ya kutaja mafanikio.
Kitu cha kawaida tu hata wewe ukipewa data za uzalishaji umeme mwishowe utazikariri na kuzizoeaJiwe ni hatari sana kwa data,kuna data za umeme anatoa kichwani kwa mfulilizo bila kusoma popote!!
Ndo vipaumbele vyake we unataka kumpangia vya kuongea,itisha press conference uzungumze kwa niaba yake unayotaka ayazungumze!Sijui ni mimi tu nina waza mambo mengi sijui ni mchana umeingia njaa imeanza nishika sijui mawazo ya mshahara
Kwa kipindi kingi hua nikimsikiliza akiwa anahutubia hua anaongea mambo yale yale ya siku zote
Ila hotuba inaendelea......
Huwa hapangiwi,we unataka umpangie!Kwa kifupi hana jipya matangazo ya redio yani ni 1.Barabara
2. SGR - hapa hua anajichanganya mara kwa pesa zetu, mara mkopo
3. Wafanyakazi hewa
4.Tumenunua ndege
5.Tumewabana mafisadi
6. Elimu bure
7.Serikali inahela nyingi
Hua anakwepa maswala ya msingi yanayogusa watu moja kwa moja
1. Hali ya uchumi
2.kushuka kwa thamani ya hela
3.Kuboresha huduma za jamii i.e dawa za mahospitali
4. Umuhimu ya kuweka Levy ya Korosho
5. Yani hua hana jipya ukimsikiliza mpaka anatia huruma
Ninachopenda hotuba za mzee baba ni ile ile haijawahi kubadilika
Ha ha ha ha ha huyu mzee nimemkubali zaidi kama Mwl NyerereWatoto wangu watoto wamefunga ndoa na wengine nikiwa rais, haujawahi kusikia sherehe hizo.
Inabidi apangiwa maana hio single yake sasa hivi haiuzi inabidi atoe Album mpya miaka 3 unaongea kile kile?Huwa hapangiwi,we unataka umpangie!
Mwandikie cha kuzungumza umpelekee!Inabidi apangiwa maana hio single yake sasa hivi haiuzi inabidi atoe Album mpya miaka 3 unaongea kile kile?