Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Hicho cha kuunga unga walikuinea huruma tu maana wangekuambia ukweli ungegeuka jiwe na ukichaa ungepanda halafu ukaanza kuwapiga shangazi zao pale mto ngono ambapo hupapendi.
 
Hatuwezi kushangaa ulipapitaje huko kwani wewe ni bingwa wa kukariri. Kama uliweza kukariri vitabu vya Chemistry by Lambert vol 01 hadi 04 enzi zako za sec tutashangaa nn hapo???
 
Rais Magufuli: Wengine wanasema sijui Kiingereza! Sasa sijui nilipitaje kwenye maandiko yangu ya chuo. Sijui nchi gani sijaenda

Nilikuwa Mwenyekiti wa Mawaziri kwenye Mkutano kule Vancouver - Canada, asa sijui niliendeshaje vikao.
Kumbe anasoma JF maana ni JF tu watu wanaweza andika kuwa haju Ki- Malkia! Loh! yupo humu ni mwenzetu
 
baada ya kula kinyesi mbwa alimsihi sana chura asitoe siri watakaporudi nyumbani..
waliporudi nyumbani kutoka porini chura akawa anahema "crrrr crrrr"
mbwa kuona vile akadakia
"pengine chura anataka kusema, pengine anataka kunisemea huyu"
familia ikamuuliza "kusema nini"
mbwa akafunguka "eti nimekula mavi"
 
Hatuwezi kushangaa ulipatitaje huko kwani wewe ni bingwa wa kukariri. Kama uliweza kukariri vitabu vya Lambert vol 01 hadi 04 enzi zako za sec tutashangaa nn hapo???
Lambert were chemistry books?
 
Post of the day! Nimecheka mpaka basi!
 
Ndio maana nakwambia wewe ni mjinga!

Hivi utajitambua lini kama wewe ni mtanzania na kiswahili ni utambukisho wako kuliko hao wazungu unaowaabudu?
 
kiingereza ni lugha tu. watu wana ki overate
Sio wanakioverate inategemea na wewe unafanya nini, kama muuza samaki Kinge hakina umuhimu kwako, ila kuna watu wanatumia kingereza kupata connection za kibiashara n.k, hata wachina wanajifunza Kinge kwa sababu za Kibiashara kwa sababu mataifa mengi yanaunganishwa na Kinge.
 
Ni kama kiswahili kuna watu hawajui kuandika kabisa lakini wanaongea fresh.
So Magu asijitape hapo ni kweli kingereza cha kuongea kinampiga chenga. Cha kuandika sijui [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pale Nkrumah siyo pamchezo, kwa ulinzi uliokuwepo pale sitashangaa kusikia propesa aliyepiga bao hata Moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…