Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Wadau,

Kwa maoni yangu, Nyerere alikuwa Rais Mahiri na hakusoma UDSM..
Mkapa vile vile..
Mwinyi sijui...
Jakaya alisoma UD lakini kilichomsaidia amudu majukumu ya Urais ni Ujanja wake tu wa mjini na kuijua dunia kivyake lakini siyo kutegemea skills za kitaaluma alizopata UDSM...ambazo kwa hakika hawana uwezo wa kumpatia!

Sasa....haiyumkiniki Chuo Kikuu kikae na mwanafunzi tangu degree ya Kwanza hadi PhD na mwanafunzi yule akahitimu bila kumudu lugha inayotumika kufundishia chuoni mle, kibaya zaidi mwanafunzi huyu kwa miaka mingi amekuwa kiongozi mwandamizi serikalini na sasa ni Mkuu wa Nchi; kama kweli Chuo Kikuu hiki kinachosifiwa kila mara na Mkuu wa nchi kinataka kulinda hadhi yake, basi kiache siasa na kijikite kwenye taaluma...kwa sasa siamini kama wanafunzi wengi watapenda kusoma PhD pale kwa sababu inaonekana wazi wanafunzi wanaopita pale ni half-baked!

So nasema, Chuo Kikuu Dar es Salaam hakiwezi kuwa bora kuzidi KIU kwa sababu chenyewe aibu yao inaonekana...kimetupatia Mkuu wa nchi PhD holder ambaye hawawezi kuwa na fahari naye kwa sababu hana confidence ya kisomi ya kutema kimombo bila kutahayari, na hasa pale unapokuwa kwenye kusanyiko la wasomi wenzio! Kama mambo ndo hivi, mimi mwanangu hasomi UDSM katu ng'o!
 
kongamano la uchumi limekuwa la siasa na kampeni
 
"you know im politicianS"
kilaza yule
mwenye pHDingi ya utomvu wa ganda la korosho !
 
Leo nitasimamisha mambo yangu kwa muda ili niungane na Rais wangu kwenye Kongamano hilo
huyu mwanafunzi jesca john toka changombe sijui anasoma nini shuleni, kaa hio ndio hali wanafunzi walivyo, then iko tatizo kubwa sana tz, magufuli amehariu taifa kiasi ya kuwa itachukua miaka na miaka kuirekebisa, yaani huyu jesca john anataka ile maendeleo magufuli anafanya ya kuteka kina Mo, azory, en saa nane yaendelee na rais anayekuja , kweli shule zinaongeza ijuinga badala ya kuondoa ujinga, jesca unaishi tz au cuba
 
Issa Shivji is the great intellectual in our country . Hizo ndizo hoja na maoni ya Kisomi
 
Hakuna hata mmoja ambaye kasemea utekwaji unaofanyw serikali. Hakuna aliyezungumzia maisha magumu.
Hakuna aliyezungumzia kuwa hakuna ajira kwa vijana

Hakuna aliuluza umuhimu wa ppp

Hakuna aliyesema kwamba serikali maana yake nini na jpm anapaswa aongoze kulingana nd definition ya serikali.

Hakuna hata mmoja aliyesema kwa nini makonda anaendelea kutawala dar wakati hana vyeti
Labda kidogo aliyejitahidi ni pd kitima aliyewasemea wanyonge kwamba purchasing powwer parity (ppp) imepungua sana japo tunadanganywa sana kuwa uchumi umekuwa.

Kwa kweli kitima ameongea kifalsafa sana. Kwanza alisema anawaongelea wasio na sauti which means hakupaswa kuongea na wale maprof mana wameshiba na wana mishahara ispokuwa alipaswa aongee na watu wa chini huku ndo wanahangaika hao maprof wataishia kumsifu tu na kutompa facts na kumjaza kichwa kuwa anapendwa wakati siyo kweli. Pili alizungumza kuwa wakuu wa mikoa hawafati sheri wakati maprof walikuwa wameshamsifu kuwa anafata sheria na haki za binadamu zinazingatiwa.

Kwa ambao tulimwelewa kitima aliwazungumzia mpaka waandishi wa habari kuwa hawana uhuru ndo maana alisema anawaongelea wasio na sauti.

Asante fr kitima we ndo kwa kweli hukuwa mnafiki na umelitendea haki jina la bwana
 
OK, hongera nawe kwa kuongeza Nyuzi Katika kumbukumbu ya JF
 
Kwenye makusanyo ya madini kinachoonekana kuongeza fedha ni tozo kuongezwa Mrabaha wa madini ya metal na Gemstones umetoka asilimia 4-5 kwenda 6 na kuna kodi ya ukaguzi 1%. Ukijumlisha hapo unakuta ni 7% kwahiyo kama walikuwa wizara wanakusanya B200 kwa ile asilimia ya zamani lazima mapato yataongezeka.
Kwenye Madini bado kuna viwanda vimesimama kuzalisha mawe ya marumaru kisa hayaruhusiwi kusafirishwa yakiwa polished hadi vitengenezwe, viti, meza nk.
 
Nimekuwa namuangalia Rais akiwa akijadili hoja mbalimbali zilizozungumzwa na wana kongamano tofauti pale Mlimani walipokuwa wanajadili hali ya uchumi nchini alipofika hoja inayohusu Katiba hali ilibadilika kabisa na inaonyeshwa hapendezwi kabisa kabisa na wale wasomi ambao bado haelewi mikakati ya awamu ya tano inataka nini na misimamo yake ni ipi huku wao bado wakipenda kujadili mambo ambayo alishayatolea maelezo huko nyuma.

Nakumbuka alishasema kuhusu Katiba kuwa sio kipaumbele chake wala hakuna nadi katika kampeni.

Kiukweli mtazomo wake kimwili tu unaonyesha kuwa hapendi wanaotaka kucheze pesa za umma kwa vitu ambavyo Rais hajavipa kipaumbele kabisa.
 
Hili kongamano liko wazi Hao wenyeviti wako unaowamini hakuwepo sasa shida kwa nani. Hata wakipewa mwaliko huwa hawafiki hafla ngapi wanapewa nafasi hawatokei
 
HONGERA SANA JPM, HUWA UNANIKOSHA SANA.KATIBA YA SASA COMBINED WITH POLITICAL WILL NA NIA YA KWELI YA KUWATUMIKIA WATANZANIA INATOSHA KABISA.KATIBA MPYA INASAIDIA NINI, KAMA HAKUNA POLITICAL WILL NA NIA YA KWELI YA KUWATUMIKIA WANANCHI?PIGA KAZI MKULU,
WANAONG'ANG'ANIA KATIBA MPYA NI WANASIASA WACHUMIA TUMBO NA VYAMA VISIVYO VYA KISERIKALI(NGOs),
VITU AMBAVYO AFTERALL VINAWAKILISHA SIASA NA MATAKWA YA NCHI ZA MAGHARIBI.SISI WANANCHI WA KAWAIDA HATUIHITAJI.
 
KONGAMANO LA KUSIFU NA KUABUDU.mwenye mchango wa mana pale ni huyo padre tu.maprofesa wote sifuri tu hadi kinyaa
 
Amesema hawezi kutenga fedha kwa ajili ya katiba mpya na kwamba ni kula pesa bure ambazo angezitumia kujenga standard gauge railway line. Kwa kauli hii na kama angekuwa na uwezo angefutilia bunge la Tanzania ili apate pesa za kujenga standard gauge!!!
 
"Katiba ndio muarobaini wa kila kitu"😀 Ndio ipo hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…