Kibwana Mruguru
Senior Member
- Aug 8, 2018
- 102
- 74
Kila siku anasema yaleyale kama unafatilia utagundua hotuba yake hiyo kila siku anizungumza .watumishi hewa. Bodi ya mikopo.strigls .barabara na reli.safari xa nje na posho hana lingine
Haki ipi anayohitaji..jamani, Magufuli kajitahidi san, tumpe haki yake
Watafute fursa, lakini siyo kwa mgongo wa uharibifu wa maslahi ya taifa.tusiwapangie cha kuongea kwani kila MTU ana namna take ya kutafuta fursa
hakuna taifa lililohalibiwa na watu wasio na shuleWatafute fursa, lakini siyo kwa mgongo wa uharibifu wa maslahi ya taifa.
ni kweli nduguUkosefu wa fikra huru kwa wasomi ni janga kubwa
Yes, with a multiple situations...hakuna taifa lililohalibiwa na watu wasio na shule
Kwa lipi kufungua ndoa bila kuvaa suti?jamani, Magufuli kajitahidi san, tumpe haki yake
Kajitahidi kwa lipi? Au kuhujumu wananchi?? Au kupotea na kupigwa risasi mchana kweupe? Kwa kadri wajinga wanavyomsifia jiwe, ndivyo tunavyozidi kuangamia.jamani, Magufuli kajitahidi san, tumpe haki yake
Yaani atafute pesa kwa jasho vile halafu watu wachache waende kula hhela za bure NOOO Waay!Hakuna dikteta anayependa kuweka misingi imara ya kiuongozi mahala popote duniani, kutegemea kupata katiba imara inayozingatia misingi ya usawa kati ya mtawala na mtawaliwa kwa huruma ya Rais dikteta ni sawa na kuchoma mahindi kwa kutumia mwanga wa mbalawezi huku ukiwa na matarajio chanya ya jambo hilo.
Madikteta hutengeneza katiba zenye kulinda na kudumisha madaraka, hivyo kutengeneza katiba mpya inayobeba matarajio ya wananchi ni kujipiga kitanzi kwa dikteta husika
Madikteta hupenda sifa binafsi ndio maana utasikia 'nafanya' 'nimefanya' 'nchi yangu' n.k, lakini ukweli hakuna dikteta hupenda sifa ziende kwa mwingine zaidi yake, na wale ambao huwapinga kwa nianjema/mbaya hukiona cha mtema kuni
Madikteta huwaaminisha watu kuwa katiba bora siyo msingi wa maendeleo ikiwa wanaozisimamia hizo katiba watakuwa wabaya, lakini msingi wa yote haya huyafanya kwa lengo moja tu, nalo ni kulinda na kudumisha madaraka na si kinyume chake
Kunahoja soma kwa makiniAnaother silly moment.
Kwa staili ya Amber RutyNa sisi tutalala na wewe "NYUMA"
Kwa mazingira ya sasa hapakuwa na sababu ya kuwa na upuuzi kama ule maana ilijulikana kuwa hakuna mtu wa kumkosoa Jiwe hadharani. It was a wastage of time! haya tuliyaona sana wakati wa Idd Amin, maiti zinaelea mto Kagera lakini akina Musiba wa Uganda wanaimba mapambio! Nyie watoto ndio hamjui haya mambo!
YOU ARE AN IDIOTAnaother silly moment.