Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

VIJANA WA TANZANIA TULIOSOMA SCIENCE SUBJECTS SECONDARY NA MPAKA SASA VYUONI NDO TUNA I SUPPORT HII KAULI YA MJOMBA ,,, ILA WALE AKINA H KUNANI NDO OOOOOOOOOOOOOOOOO
 
hakuna taifa lililohalibiwa na watu wasio na shule
Yes, with a multiple situations...

1. Wenye shule/elimu za kanjanja.

2. Wajinga wasiobadilika.

Two of the most dangerous recipes!

Conclusion: Ni kweli hakuna taifa linaloharibiwa na wasio na elimu. Lakini inategemeana na level za ujinga wa wale wanaotawaliwa na pia mapenzi yao kwa Taifa inapokuja kwenye kulipigania na kujali maslahi yake na ya vizazi vijavyo.

Kumbuka wanaoharibu huwa wana dola la kuwalinda.
 
Lile halikuwa kongamano la wasomi, lilikuwa ni kongamano la ccm kumsifia jiwe hata isivyostahili. Na naona kama vile wazungumzaji wote walipangwa isipokuwa yule Padri na Prof Shvji.
 
Yaani atafute pesa kwa jasho vile halafu watu wachache waende kula hhela za bure NOOO Waay!
 
Hata asahafu wa Iraq wakati wa vita na marekani alikuwa akipambia kuwa watawaua wamatekani kama nzige mwisho wa siku yeye ikabodi ajifiche bia kupiga kelele.
Mapambio kipindi mengi mno na yanakera kama ya kabudi kusahahu taaluma yake ya sheria kutetet uvunjifu wa sheria na katiba kuwa hakuna sababu ya kuwa siasa za majukwa watu wakafanye kazi mpka 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…