Rais Magufuli: Sitatenga hela ya Katiba Mpya ili watu waende Bungeni kula; wala sikuinadi kwenye kampeni

Nimeona gazeti moja limeandika "Wasomi wamchambua JPM"!!!!!

Wakati mada ilikuwa ni kuchambua hali ya uchumi na siasa

Nikajua watanzania tunaendekeza sana njaa
 
Nimemuelewa Prof Shivji na Mukandara. Hao wametoa mawazo mazuri ya kifalsafa
 
R.I.P Mwalimu J.K. Nyerere, uliliona hili na ukaonya "katiba imekupa nguvu kubwa kwelikweli, akitokea rais dikteta tutapata taabu sana" now limetokea dah! sleep well babu acha tukione tulichelewa kuchukua maamuzi.
 
Wewe ni mjinga!
Sasa utakuwa unakula hicho kingereza? Hizo nchi nyingine zilizoendelea zinatumia kingereza?
Jiwe ni zwazwa.

Kiingereza hajui.

Kiswahili hajui..

Analazimisha watu wamwone msukuma kwa kuhutubia kisukuma majukwaani.

Jitu linajifanya eti uzalendo ili litumie kiswahili kwa kuwa kiingereza hakipandi, mwishowe linaishia kuzungumza BROKEN KISWA-ENGLISH huku maprof uchwara wakipiga makofi.

Nchi inapitia katika kipindi KIGUMU SANA.

#GodHelp
 
Ila anatoa mabilioni ya kununua wapinzani na kufanya Maigizo ya Kitu kinachoitwa uchaguzi
Blaah blaah zooooote, za gharama, zikaja kuharibiwa aliposema kuwa, kama kuna wafadhiri wa kugharamia mchakato huo, basi hizo fedha zipelekwe kwenye shughuri nyingine. Hapo, kumbe tatizo si fedha, bali yeye Magufuli ndiye asiyeitaka hiyo Katiba mpya!
 
😀😀😀😀😀
 
Wivu, chuki, roho mbaya, husda,
husababisha maumivu makali sana sana kwenye moyo na kusababisha uishi kwa mateso makubwa!

Nakushauri nenda kamuone mwana saikolojia akufanyie canceling, maana huu wivu ulionao hautakuacha salama.
 
Naomba kuuliza swali naomba nijibiwe na wanaofahamu.Je pesa za bunge la katiba zinatengwa na Mh Rais au bunge.
 
Hivi kuna aliyetegemea kusikia au kuona kitu tofauti na ule upuuzi wa jana. Halikuwa kongamano, ulikuwa ni mkutano wa kampeni tena wa watu wasiojua kujenga hoja ,waoga na wanafiki. Nimeona sehemu, eti viwanda 3066 vimejengwa! Sijui linamdanganya nani! Bora Shivji naona yeye amesifu kimoja tu, attendance, kuna watu bado wanajitambua.
 
Wivu, chuki, roho mbaya, husda,
husababisha maumivu makali sana sana kwenye moyo na kusababisha uishi kwa mateso makubwa!

Nakushauri nenda kamuone mwana saikolojia akufanyie canceling, maana huu wivu ulionao hautakuacha salama.
Counselling
 
Halafu kwenye haya mafanikio mengi tunayolazimishwa kuyaona mbona kiwanja cha ndege cha Chato hakitajwi kabisa au sio mafanikio? Kwa sababu chenyewe angalau tunakiona ukilinganisha na invisible 3066 manufacturing and extractive industries.
 
Wivu, chuki, roho mbaya, husda,
husababisha maumivu makali sana sana kwenye moyo na kusababisha uishi kwa mateso makubwa!

Nakushauri nenda kamuone mwana saikolojia akufanyie canceling, maana huu wivu ulionao hautakuacha salama.
Anaeteseka rohoni ni JIWE. Na haitatokea akapata Amani.
Damu za watu wasio na hatia anazoendelea kumwaga zitamsulubu mpaka siku anaingia kaburini.

Jitu limedhibiti vyama vya upinzani.

Limedhibiti kuua na kuwabambika kesi wapinzani.

Limepiga marufuku mikutano ya upinzani ya hadhari na bunge live.

Limedhibiti media

Limedhibiti asasi za kiraia

Linatembea na mwandishi wa TBC mpaka chooni.

Linahooga wabunge wajiuzulu.

Linahonga maburungutu wananchi mikutanoni na viongozi wa dini.

Limedhibiti mitandao.

Limedhibiti vyama vya wafanyakazi.

Lakini watu BADO HAWALIPENDI.

Lina WENGEE linatembea linafoka foka nchi nzima na bado

WATANZANIA WANALICHUKIA na WATALICHUKIA MILELE.
 
"Sitegemei kutenga fedha kwa ajili ya watu kula wakakae bungeni kujadili katiba, hata kama kuna mtu anataka kutupa hizo fedha, atupe tukatengeneze Stiegler's Gorge. Watu wanakaa wanapiga kelele katiba mpya, utadhani katiba ndio mwarubaini wa kila kitu."- Rais Dkt Magufuli

Rais Magufuli asaidiwe, akumbushwe na afahamu kuwa anaongoza watu zaidi ya milioni 50. Amewekwa hapo na Wananchi na kwa mujibu wa Katiba, hivyo hapaswi kuwapuuza miongoni mwa hawa Watanzania waliompa kura.

Kauli kama hii siyo kauli njema kutolewa na Rais wa nchi. Nini Tafsiri yake?
Inamaana mchakato wa kwanza uliofanyika awali chini ya Rais Kikwete ulikuwa batili? Kwanini Rais anawaaminisha Watanzania katika kuamini upande mmoja wa hasi tu dhidi ya maombi ya Katiba Mpya?

Washauri wa mzee huyu wamsaidie,... Waandaaji wa hotuba za mzee huyu wamsaidie,wazihariri maana kuna baadhi ya kauli za kulipasua Taifa. Kauli kama hii haipaswi kuungwa mkono na Mtanzania mwenye akili timamu.
Katiba iliyopo ilitokana na maoni ya Watanzania, na hao hao Watanzania ndiyo wanaodai mabadiliko ya Katiba hiyo.

Namnukuu Mwl. Nyerere, aliwahi kusema; " Katiba ni kama vazi analoshonewa mtoto,.... Na kadri mtoto anavyokuwa ni lazima lile vazi lipanuliwe ili kumtosha mtoto".
Sasa huyu mzee anatujibu Watanzania utadhani fedha zitakazotumia ni fedha za kutoka mfukoni mwake.

Kwahiyo kwake yeye Stiegler's Gorge ndiyo mwarobaini wa kila kitu....[emoji853][emoji853]
NDAMA....
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Mkuu utakufa kabla ya wakati si wako!

Narudia tena tafuta mshauri nasaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…