Nimefatilia wote kuanzia mzungumzaji wa kwanza wengi hawasimamii kweli mfano prof Moshi mara alisema tusitegemee mksaada ya western countries ndo imetufanya hatupigi hatua eti China wamepiga hatua ndo tu side nao tangia ujenzi wa Reli ya mwanzo kitu ambacho si ukweli umaskini watu ni uzembe wetu wenyewe. Sasa kongamano la kisomi prof hashauri kisomi hyo si matumizi mabaya ya elimuTaa mtaani inaingia katika kipengele cha nishati jadidifu - renewable energy.
Jitahidi kuelewa muktadha mzima wa mtu na sio kuchagua kipande cha kujadili pasipo kuoanisha na msingi mzima wa kinachoongelewa.
Sitaweza kuhudhuria kongamano la uchumi linalofanyika UDSM, hatahivyo maoni yangu ambayo ningeyatoa kuhusu ukuaji wa uchumi kama ningeweza kuhudhuria kongamano ni kama ifuatavyo:
"Uchumi unakua kwa kasi kubwa sana kiasi kwamba mabenki na makampuni yanafunga biashara, yanapunguza wafanyakazi na kufiliska kwa kasi kubwa kwa sababu benki hizo na makampuni hayo yameshindwa kuhimili kasi kubwa sana ya ukuaji wa uchumi au kwa maneno mengine yameshindwa kwenda na kasi kubwa ya ukuaji wa uchumi. Kwakweli tunayo kila sababu ya kujivunia kasi ya kuaji wa uchumi"
Mashindano ya kusifu na kuabudu.
Tamasha la kusifu na kuabudu likiongozwa na mapro-pesa uchwara!Hili ni Kongamano la Hali ya uchumi na siasa au Kongamano la "kusifu" na "kuabudu"??
SanteeIngia global tv online
Profesa hashauri kisomi!!, unafahamu kuwa hapo wamepewa dakika kumi na tano tu?.Nimefatilia wote kuanzia mzungumzaji wa kwanza wengi hawasimamii kweli mfano prof Moshi mara alisema tusitegemee mksaada ya western countries ndo imetufanya hatupigi hatua eti China wamepiga hatua ndo tu side nao tangia ujenzi wa Reli ya mwanzo kitu ambacho si ukweli umaskini watu ni uzembe wetu wenyewe. Sasa kongamano la kisomi prof hashauri kisomi hyo si matumizi mabaya ya elimu
Niwe mkweli mdahalo unasema
Miaka mitatu ya serikali ya awamu ya 5
Lakini wachangiaji wote wanaelezea masuala bila kuoanisha na miaka mitatu ya awamu ya tano
Kiufupi hawa jamaaa ni kama wanafundisha kipindi darasani
Wanadhani wanajua kila kitu tena sisi tunao watazama ni punguani
Kizazi cha leo mtu anaweza kujifunza kitu chochote online kuna tutorial kibao alafu wao wanataka kutumezesha madesa yao ya enzi za mwalimu
Mkuu tuambie mama kasemaje maana wengine hatuaccess TV tupo ofisini tunaibia jfHuyu mama anaechangia saizi ukiniambia msomi nitakuelewa sio hao wawili wa mwanzo.
Lakini hoja zake zinahusuana na mada ya mdahalo wa leoHuyu mama anaechangia saizi ukiniambia msomi nitakuelewa sio hao wawili wa mwanzo.
Inaonekana miaka mitatu ya Mzee baba haielezekiNiwe mkweli mdahalo unasema
Miaka mitatu ya serikali ya awamu ya 5
Lakini wachangiaji wote wanaelezea masuala bila kuoanisha na miaka mitatu ya awamu ya tano
Kiufupi hawa jamaaa ni kama wanafundisha kipindi darasani
Wanadhani wanajua kila kitu tena sisi tunao watazama ni punguani
Kizazi cha leo mtu anaweza kujifunza kitu chochote online kuna tutorial kibao alafu wao wanataka kutumezesha madesa yao ya enzi za mwalimu
Point yake ya Msingi ilikuwa kimsifu President,kazunguka mwisho kaja kwenye point ya kumsifuHuyu mama anaechangia saizi ukiniambia msomi nitakuelewa sio hao wawili wa mwanzo.
Profesa hashauri kisomi!!, unafahamu kuwa hapo wamepewa dakika kumi na tano tu?.
Wazungu wa ulaya waliligawa bara letu mwaka 1884 kule Berlin, hii mipaka ya sasa ya nchi za afrika iliwekwa na wazungu. Ni kwa sababu tu ya maendeleo ya ustaarabu vinginevyo mpaka leo tungekuwa chini ya ukoloni.
Mzungu hapendi kuona nchi za kiafrika zikijenga reli, zikiimarisha miundo mbinu ya kila aina. Unaweza usiamini ninachosema lakini kwa maoni yangu huo ndio ukweli.