GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,685
- 128,178
Moshi si kalamba uteuzi huyo
Kama aliteuliwa na kashindwa kumuimperess mtukufu basi hana mwaka huo ngj tumsiklize mkandala naona kaanza na methodolojia hahahTena huyu ndiyo ' ameharibu ' na ' kutokota ' kabisa katika ' uwasilishaji ' wake na afadhali ya mwenzake Qorro ambaye tunajua kuwa ' naturally ' Wanawake huwa wanakuwa ' inferior ' hasa katika maeneo ambayo Wanaume wakuwepo wengi.
Hakuna nchi katilii kama China hasa kwa rais huyu wa sasa!! Africa tutaumia sana, matter of timeHata China ni mnyonyaji vile vile maana mikopo yake ina masharti usifikirie Kuna mataifa makubwa yanapenda umaskini uishe kwetu maana wanapenda tuwe tegemezi sio China wala western countries itatuondolea umaskini tusipoamua wenyewe
Uko sawa.Mimi sio pinga pinga kitila mkumba ametendea haki nafasi aliyopewa
Anatema cheche na fact hata kama anampigania jiwe lakini amebase kwenye fact
Wote tunajua kitila ni product ya wapi yeye ni optimist na anaitumia hii golden chance ipasavyo sio sawa na wachumia tumbo waliotangulia
Imagini jiwe angewapa chance lissu na zitto et allll
Profesa hashauri kisomi!!, unafahamu kuwa hapo wamepewa dakika kumi na tano tu?.
Wazungu wa ulaya waliligawa bara letu mwaka 1884 kule Berlin, hii mipaka ya sasa ya nchi za afrika iliwekwa na wazungu. Ni kwa sababu tu ya maendeleo ya ustaarabu vinginevyo mpaka leo tungekuwa chini ya ukoloni.
Mzungu hapendi kuona nchi za kiafrika zikijenga reli, zikiimarisha miundo mbinu ya kila aina. Unaweza usiamini ninachosema lakini kwa maoni yangu huo ndio ukweli.
Prof ameenda too much theoretical,Nishati amegonga vizuri!Anaambaa ambaa na notes. Eti kuna wakati tuliwazidi China. Hajui kuwa wakati tunawazidi(kama ni kweli) ni wakati ambapo tulikuwa 'sehemu' ya Britain. Yaani mtu wewe ni House girl kwa waziri. Unaacha kazi unarudi kwenu halafu unasema kuna wakati Mimi nilikuwa ninakula mlo mzuri kuliko huyu mwalimu wetu jirani hapa kijijini,sasa hivi kanizidi. Kumbe ni kuwa wakati ule alilinganishwa mwalimu na waziri
Inaonekana miaka mitatu ya Mzee baba haielezeki