na kuwa ulivyo.. unashindwa kumuelewa.. kweli fanya ya ujuzi wako tu.. aibu kumwekea maneno mudomoni.. kwenda nje ya boksi tabuu kwako.. kajifunze..
Nadhan, inaitajika kichwan uwe na matope, ndio uweze kukubaliana na Mwenyekiti wenu.
Chanjo ya COVID-19 , sio Ulaya tu au Marekan ndio wanaozitengeneza.
Wapo Warusi ambao chanjo yao imeonyesha kua na Mafanikio
Wapo Wachina
Wapo Wahindi.
Ni yeye kuangalia, Ni wapi achague, Inamaana wachina, warusi, wahindi, wao Lengo lao nimoja tu KUUA WAAFRIKA???.
Chanjo ya Warusi ivi sasa inatumika Venezuela,Iran, Urusi n.k.
Hawa wote lengo lao ni Waafrika????.
Ikiwa Serikali haina Pesa, na Ninajua this time HAWEZI KUPEWA MSAADA, niyeye kukubali tu kua Hamna Pesa, Akimbilie Kwa Wachina n.k.
Huuu upumbavu wenu wa kujifanya Siasa mnaleta hadi ktk masuala ya Afya ni upumbavu ulivoka mpaka.
Wee hapo Ulipo Una chanjo ya kukusaidia usipate Active TB( Kifua kikuu), bila hivo saizi ungekua na kifua kikuu , na ikitokea umepata licha ya kua na chanjo hiyo maana yake una UKIMWI.
Achen Siasa kwenye mambo yasohitaji siasa.
Kwa nchi zenye Watendaji Huru, Waziri wa Afya alikua anajiuzulu ili Kulinda Heshima yake.