mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Oyooooooo.[emoji847][emoji847][emoji847].piga kelele kwa magufuli akeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni jambo jema!
Naona vijana wa Chadema hawajabaki nyuma nao wamehudhuria uzinduzi huu muhimu wa shamba la miti, Hongereni sana.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe maccm ni empty head tabulalasa kwelikweli .Ni jambo jema!
Naona vijana wa Chadema hawajabaki nyuma nao wamehudhuria uzinduzi huu muhimu wa shamba la miti, Hongereni sana.
na kuwa ulivyo.. unashindwa kumuelewa.. kweli fanya ya ujuzi wako tu.. aibu kumwekea maneno mudomoni.. kwenda nje ya boksi tabuu kwako.. kajifunze..Nmesikitika sana ,nmesikitika sana nikiwa kama Mtaalam wa Afya
Kauli hii ya Kubeza Chanjo
Maana yake anawaaambia wamama sasa wajawazito na watoto, waanze kuzikimbia Chanjo.
Ivi nin hii???
Nadhan, inaitajika kichwan uwe na matope, ndio uweze kukubaliana na Mwenyekiti wenu.na kuwa ulivyo.. unashindwa kumuelewa.. kweli fanya ya ujuzi wako tu.. aibu kumwekea maneno mudomoni.. kwenda nje ya boksi tabuu kwako.. kajifunze..
Maneno mengiii sana unaandika.. si wew eumesema kuhusu wanawake.. haya yote ya nini!!! jifunze kwenda nje ya boksi..Nadhan, inaitajika kichwan uwe na matope, ndio uweze kukubaliana na Mwenyekiti wenu...
Tuliua na tunazidi kuua udadisi tangu mtoto anapoingia shule. Tumetengeneza taifa lisilohoji au lisilojua jinsi ya kuhoji na kupambanua. Tumejenga siasa za "ndio mzee" na "weka tiki", basi! Haya ni baadhi ya matokeo yake.Ni jambo la kusikitisha sana kuona kwamba mtu anayetakiwa kuwaelimisha wananchi ndiye anakuwa mtu wa kuwapotosha wananchi. Inasikitisha sana kama taifa hili bado tunao wananchi wajinga wa kuamini mambo bila kudadisi yanayosemwa na mtu anayedhamiria kabisa kuwapotosha kwa maksudi tu ya manufaa yake.