Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Rais Magufuli: Sitegemei kutangaza hata siku moja kwamba tunajifungia ndani (Covid19), tutaendelea kuchukua tahadhari zingine za kiafya. Akemea Chanjo

Oyooooooo.[emoji847][emoji847][emoji847].piga kelele kwa magufuli akeeeee
 
Ni jambo jema!

Naona vijana wa Chadema hawajabaki nyuma nao wamehudhuria uzinduzi huu muhimu wa shamba la miti, Hongereni sana.
Ni jambo jema!

Naona vijana wa Chadema hawajabaki nyuma nao wamehudhuria uzinduzi huu muhimu wa shamba la miti, Hongereni sana.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe maccm ni empty head tabulalasa kwelikweli .
 
Ukiona mkatoloki anajifanya ana imani na Mungu kuliko hata maaskofu na mapadre tambua kuwa iko namna.

Akili za kuambiwa changanya na za kwako.
 
Post hii itasababisha wajawazito na wenye watoto wachanga kuzisusa chanjo, iondolewe kwa manufaa ya taifa.
 
Nmesikitika sana ,nmesikitika sana nikiwa kama Mtaalam wa Afya

Kauli hii ya Kubeza Chanjo

Maana yake anawaaambia wamama sasa wajawazito na watoto, waanze kuzikimbia Chanjo.


Ivi nin hii???
na kuwa ulivyo.. unashindwa kumuelewa.. kweli fanya ya ujuzi wako tu.. aibu kumwekea maneno mudomoni.. kwenda nje ya boksi tabuu kwako.. kajifunze..
 
Naungana na rais wetu kwa 100% si kila chanjo ni ya kuikimbilia PIA NI WAJIBU WETU WATANZANIA KWA UFAHAMU WETU TULIONAO TUZINGATIE VILE VITU VYOTE VYA KIAFYA KATIKA HALI TU YA KAWAIDA MF USIPIGE CHAFYA OVYO HADHARANI ILI HATA KAMA UNAVIMELEA VYA TB VISIJE WAPATA NA WENGINE TUJIKINGE NA VUMBI HASA KATIKA NYAKATI HIZI ZA KIPUPWE NA PIA KUNAWA MIKONO NI VIZURI KWA AJILI YA AFYA ZETU
 
na kuwa ulivyo.. unashindwa kumuelewa.. kweli fanya ya ujuzi wako tu.. aibu kumwekea maneno mudomoni.. kwenda nje ya boksi tabuu kwako.. kajifunze..
Nadhan, inaitajika kichwan uwe na matope, ndio uweze kukubaliana na Mwenyekiti wenu.

Chanjo ya COVID-19 , sio Ulaya tu au Marekan ndio wanaozitengeneza.

Wapo Warusi ambao chanjo yao imeonyesha kua na Mafanikio

Wapo Wachina

Wapo Wahindi.

Ni yeye kuangalia, Ni wapi achague, Inamaana wachina, warusi, wahindi, wao Lengo lao nimoja tu KUUA WAAFRIKA???.

Chanjo ya Warusi ivi sasa inatumika Venezuela,Iran, Urusi n.k.

Hawa wote lengo lao ni Waafrika????.


Ikiwa Serikali haina Pesa, na Ninajua this time HAWEZI KUPEWA MSAADA, niyeye kukubali tu kua Hamna Pesa, Akimbilie Kwa Wachina n.k.

Huuu upumbavu wenu wa kujifanya Siasa mnaleta hadi ktk masuala ya Afya ni upumbavu ulivoka mpaka.

Wee hapo Ulipo Una chanjo ya kukusaidia usipate Active TB( Kifua kikuu), bila hivo saizi ungekua na kifua kikuu , na ikitokea umepata licha ya kua na chanjo hiyo maana yake una UKIMWI.


Achen Siasa kwenye mambo yasohitaji siasa.


Kwa nchi zenye Watendaji Huru, Waziri wa Afya alikua anajiuzulu ili Kulinda Heshima yake.

IMG_20210127_153303_147.jpg
 
TAZAMA VIDEO CLIP NA KUMSIKLIZA MPAKA MWISHO RAIS JOHN MAGUFULI AKIZUNGUMZIA KUHUSU CORONA IKO AU HAIKO ILI USIPOTESHWE!
 
Ni jambo la kusikitisha sana kuona kwamba mtu anayetakiwa kuwaelimisha wananchi ndiye anakuwa mtu wa kuwapotosha wananchi. Inasikitisha sana kama taifa hili bado tunao wananchi wajinga wa kuamini mambo bila kudadisi yanayosemwa na mtu anayedhamiria kabisa kuwapotosha kwa maksudi tu ya manufaa yake.
Tuliua na tunazidi kuua udadisi tangu mtoto anapoingia shule. Tumetengeneza taifa lisilohoji au lisilojua jinsi ya kuhoji na kupambanua. Tumejenga siasa za "ndio mzee" na "weka tiki", basi! Haya ni baadhi ya matokeo yake.

Wanaochomoza na kuonyesha utofauti, aidha huingizwa kwenye "mfumo" na kuwa sehemu yake, au huondolewa na kuvikwa "uadui" au hudidimizwa "wasishtue" wengine.
 
Leo ndo nmegundua kanisa katoliki lina nguvu kubwa..baada ya waraka wa corona kutoka na Askofu Ruachi kuongea watu kujilinda na kujikinga na corona leo mzee kaja kuongea
Corona ipo ni kidogo
Ooh haipo kabisa
Ohh watanzania wametuletea yaani anajiuma uma tu.
 
Nilipokuwa naambiwa Magu ni mwendawazimu nilikuwa siamini
Chanjo sio dawa ya kuponya bali ni zuio la ugonjwa kujitokeza kwa nguvu na kusababisha madhara makubwa ya kimwili au kusababisha kifo
kwa taarifa zake chanjo za kifua kikuu zipo watoto wanachanjwa ,chanjo za kansa kama hiyo ya kizazi ipo watu wanachanjwa ,chanjo ya malaria ipo watu wanachanjwa ,zipo chanjo za surua,kifaduro,polio.

Ukimwi zipo kwenye majaribio, sasa asicho kielewa ni nini anafwarafwaja tu mdomoni kama vile hakuenda shule na ni alimloga huyu kwanza kwa nini amejificha chato kama hajakimbia corona kama mwaka jana alivyofanya.
 
Back
Top Bottom