mume wa mtu
JF-Expert Member
- Aug 11, 2015
- 648
- 386
Bado,ila mimi naomba asiondoke,huyu makondakta uhuru atakaoupata atatula nyama mchana kweupe akiachiwa mji peke yake.kama vipi aendenae tu.Hivi rais alishahamia Dodoma? Aliahidi kuhamia kabla ya Desemba 2018.
Wewe ndiyo Faala kila mkubwa.
Shughuli za serikali kuhamia Dodoma ni kupunguza matumizi .
Because your myopia you can't see this
Sent using Jamii Forums mobile app
Itapendeza pia tukipata ripoti inayoonyesha serikali imepata faida/ hasara kwa kiasi gani na mpango wa kuhamia Dodoma.
Mbona sisi kutumia mabilioni kwa hasara ni kawaida yetu, tena bila idhini ya bunge.Mimi kinachoniogopesha ni kwamba mpango wa kuamia Dodoma hautafanikiwa,utaishia katikati uku mabilioni ya fedha yakiwa yameshatumika.
Lakini siyo ukabila kuhutubia kwenye majukwaa ya kisiasa kwa kisukuma tena kwenye nchi ya watu wastaarabu yenye makabila zaidi ya 120 !!!Huu ukabila huu, ni dhambi kumjaji mtu akili yake kuendana na kabila yake,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye korosho ndiyo ametia hasara ya kupita maelezo
Mtu akitaka likes za kufa mtu kutoka kwa Wachaga ili ajisikie vizuri hakuna kinachosaidia kama Magufuli bashing!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ElitwegeStupid fool.
Mtu akitaka likes za kufa mtu kutoka kwa Wachaga ili ajisikie vizuri hakuna kinachosaidia kama Magufuli bashing!
Ni wewe mwenyewe huelewekagi siku zingineTeh teh...hongera kwa kuweza kusoma na kuelewa ulichokisoma.
Hapo nyani umeongea haswa. Nianze na hili la "kufuta sherehe" kama za Muungano, na HATA SHEREHE ZA UHURU NA JAMHURI!!! Kuna mtu aliwahi kuhoji hata kile kitendo cha kuhamishia sherehe hizo DODOMA. hoja yake ilikuwa kwamba sherehe hizo zina historia yake, kwamba sherehe orijino ilifanyika "uwanja wa uhuru" na hiyo ni alama isiyohamishika. hivyo tunapofanya hapo sherehe hizo ina maana kubwa sana. Kwa Magufuli, mtu wa makalveti, madaraja na barabara, "such niceties" have no place, I suppose.
Sasa Magufuli hakuishia tu kuhamisha, lakini KUFUTA. Mwanzo alifuta ili KUFANYA USAFI. shida hapo ni kwamba usafi ni tabia inayoweza kujengwa, na iwe jambo la kawaida la kila siku. lakini kumbukumbu za UHURU WA NCHI ni kitu kingine kabisa. Angeweza KUBORESHA lakini siyo kufuta. Sasa nije kwenye hoja yako. Kafuta sherehe hizo muhimu, MUUNGANO, UHURU NA JAMHURI, lakini hebu angalia hizo "sherehe" za kupokea ndege, kwa mfano. ni kubwa kuliko ambavyo ingebidi iwe. ingetosha mara moja tu, nyingine ikawa ni zoezi la kawaida linalofanywa na wahusika. Nadhani ana lengo mahususi:
Kuhamia Dodoma ni hatua ya kuonesha kwamba NYERERE of all people alishindwa kwenda Dodoma, yeye kaweza. Sherehe za UHURU NA JAMHURI ni kusherehekea mafanikio ya Watanganyika wakiongozwa na Nyerere. sasa yeye hataki hiyo. anataka ATUKUZWE YEYE. so what about kuongoza shughuli za usafi? na yeye anapigwa picha? Hayo ni mafanikio yake yeye binafsi. Kupokea ndege? Hayo ni mafanikio ya serikali ya awamu ya tano chini ya Rais Dokta John Joseph Pombe Magufuli!! Tatizo ni EGO.
Lakini kama ambavyo wengine wamesema, hata Nyerere mwenyewe asingefurahia kuhamia Dodoma Leo hii. 1973 ilikuwa enzi za ANALOJIA. LEO NI DIGITALIA. Leo kuna dude linaitwa E-GOVERNMENT. Leo tunasema DUNIA NI KIJIJI. sasa maana gani kuhamia Dodoma? hata mambo ya security sasa ni tofauti kabisa na enzi hizo. Ni matumizi mabovu ya rasilimali za nchi, ili kuridhisha EGOTISTICAL ambitions za mtu mmoja
Ni wewe mwenyewe huelewekagi siku zingine
Ni enzi hizo. Hakukuwa na maendeleo makubwa ya mawasiliano. Hakukuwa na barabara Bora na usafiri wa uhakika!!Dodoma ni KATIKATI ya nchi,rahisi kufika kutoka pande zote za nchi
Kama ni hivyo basi uko Very fair, samahani inawezekana sikukuelewa vizuri. Nakubaliana na wewe umekuwa ukimsifia na kumkosoa Magufuli, kwa mfano. Lakini hebu nisaidie kwa kunikumbusha angalau kwa mwaka jana umetuma nyuzi zipi kuwapongeza "makamanda" pale walipopatia, au siku zote wao ni hovyo tu? Nasema tena samahani inawezekana kuna uzi uliposti sikuuona ukanipita, nikamlaumu bure Nyani wa watu.Ninaeleweka sana tu.
Mimi nimeshasema wazi kuwa, nikiona sehemu kapatia, nitampongeza.
Nikiona kakosea, nitamchana.
Vivyo hivyo kwa upande wa upinzani.
La, nionyeshe mifano ambayo labda sikueleweka???
It will be done. Play your partWengine wanaweza kusema anaitaka ile sifa ya kuitwa rais aliyehamisha mji mkuu wa Tanzania.
Ni kweli mkuu, ila kuhusu wapinzani, tuwasaidie tu maana upinzani ni sisi wote wananchi, wao ni waratibu wa upinzani. ila uko sahihi kwamba hiyo ni pointi ambayo wangeweza kuitumia.💯%!!
Ni kama tunachezewa mazingaombwe tu.
Umetoa mfano mzuri, huo wa sherehe za mapokezi ya ndege.
Ningependa kujua bajeti ya hizo sherehe. Ni kiasi gani...
Ila sijasikia kiongozi yeyote wa upinzani ambaye kahoji kuhusu hilo. Kama yupo au wapo, basi mimi sijasikia.
Sitegemei mengi kutoka kwa wabunge wa CCM...