Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,473
- 13,629
Asiyeelewa kuwa rais ni mtu wa utaani huyo nongwa zitakuja kumuua.Kwa kuwa kila mtu ana tabia yake basi ndio uishi na mwizi mtaani kisa tu watu hatufanani?
Uishi na mbakaji kisa tu kila mtu na tabia zake?
Uishi na mchawi kisa tu ni kila mtu na maisha yake?
Uishi na muuaji jirani kisa tu kila mtu kaumbwa na hulka zake?
Ikifikia hatua hiyo,wewe si mtu hai tena,bali ni maiti inayoishi.
Na ni mtu anayejitafutia vidonda vya tumbo visivyo na sababu.