Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Rais Magufuli, umewadhalilisha sana wanawake weusi nchini

Anajua mumewe ni mtu wa extreme jokes, wabongo tunajuana

Ndio maana nikasema inategemea na namna watu wa taifa husika wanavyojitambua, kumdhalilisha mkeo kila ukipata fursa ya kuongea na hasemi kitu itategemea na asili yake, kwa mfano shithole nyingine kule Swaziland mfalme wa huko huruhusiwa kufanya chochote akitakacho kwa wanawake.
 
Wewe ndiio mjinga kweli alikwambia kijijini watu ni weusi Nani?rangi ya ngozi NI character ya kurithi
Au wewe mwenzetu unarumia mkorogo,
Eti mwanamke was kijijini
Labda kijijini kwwenu
Mshamba mkubwa
Halafu hv mwanamke gani mweusi ajshindwe kumuona magu?labda wewe usiejiamini
Kwa ufupi mambo yale huwezi yakuta kwa kiongozi mskini Nyerere akipenda utani lkn ndani ya utani wake kunakuwa na mambo ya kujifunza huu ni ujinga na unakubalika kwa wajinga km ww tuu
 
Popoma ni yule anayechukulia kwa uzito kauli za masihara za mwanasiasa tena akiwa jukwaani.

Kuna mengi sana ambayo ni chanya yalisemwa kuhusu Dar na maendeleo yake na ni ya muhimu kuliko huu udaku wa mwanamke mweupe na mweusi.
Kurara Kati kati ni kutamu sana
 
Siku hizi kasuku wameishiwa sera saaa wanakwenda na kauli za magufuli.

Magu ni msukuma,wasukuma wanafahamika kwa kupenda wanawake weupe(japo kaoa mwanamke mweusi kama hao anaowatania).

Watu wamekosa tumaini sasa imefikia kipindi mtu anaamka na stress anampatia magufuli,anachofanya ni kutafuta sababu tu.
Wala hujui watu wanachohoji Kama nyinyi wasukuma mnapenda vyeupe ni juu yenu lkn kutoa kigezo cha kumsikiliza mtu sababu ya rangi ni UBAGUZ USHAMA NA ULIMBUKENI
 
Very sad,

Kum torture mke wake kisaikolojia kila siku...pigieni kura Lissu!
 
Very sad,

Kum torture mke wake kisaikolojia kila siku...pigieni kura Lissu!
Jitu limeenda ejii halijiheshimu halina breki halina staha ukizingatia cheo chake kikubwa halina kiasi he is not intelligent at all. Faking annoying
 
Ndio maana nikasema inategemea na namna watu wa taifa husika wanavyojitambua, kumdhalilisha mkeo kila ukipata fursa ya kuongea na hasemi kitu itategemea na asili yake, kwa mfano shithole nyingine kule Swaziland mfalme wa huko huruhusiwa kufanya chochote akitakacho kwa wanawake.
So, point yako ni kwamba, sisi hatujitambui, si ndio

Sent from my DUB-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Mimi hapa mweusi na sijaumia chochote
Labda Kama wee mtoa mada umeumia pole Sana mwanamke mwenzangu

Tena mwisho akasema i mnajua Tena wasukuma!!!!
Alimaanisha wasukuma wanapenda wanawake weupe na aalitania
Subiri uteuzi
 
Kwa ufupi mambo yale huwezi yakuta kwa kiongozi mskini Nyerere akipenda utani lkn ndani ya utani wake kunakuwa na mambo ya kujifunza huu ni ujinga na unakubalika kwa wajinga km ww tuu
uko sahihi kabisa kwa Nyerere ni mbali sana hata JK tu
 
Ubaguzi wa rangi, Nyerere alisema kaburu ni kaburu tu bila kujali asili yake, mzungu,mwarabu au mwafrika
 
Wala hujui watu wanachohoji Kama nyinyi wasukuma mnapenda vyeupe ni juu yenu lkn kutoa kigezo cha kumsikiliza mtu sababu ya rangi ni UBAGUZ USHAMA NA ULIMBUKENI
nasemajee,kwa sasa mtashikilia mpaka visivyo na maana ili mpate pa kuhifadhi hasira zenu.

28 oct 5 tena,hasira zizae mtoto.

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Kwa ufupi mambo yale huwezi yakuta kwa kiongozi mskini Nyerere akipenda utani lkn ndani ya utani wake kunakuwa na mambo ya kujifunza huu ni ujinga na unakubalika kwa wajinga km ww tuu
Magufuli sio nyerere
Usipazimishe kwa vile Nyerere alitqnya hv na Magu afanye hv
 
Ingekuwa Malawi wanawake weusi wangeandamana uchi mpaka ikulu.
Hata ingekuwa Kenya, angetamani dunia ipasuke aingie ndani. Angebanwa mpaka aombe radhi, la sivyo angekosa kura za wanawake wote, weupe kwa weusi. Mambo ya hovyo-hovyo kiasi hiki yanaweza kutokea TZ tu. Ujinga au sijui upole wa kijinga umefanya watawala watudharau na kuamua kujisemea chochote kinachokuja akilini mwao bila kufikiri vizuri impact yake.
 
Halafu miafrika bana, humo kwa hao wanaoshabikia hizo kauli kwa shangwe na vifijo kunao wanawake weusi.....hehehe jameni, ingefanyika kwenye mataifa yenye watu wanaojitambua aisei pangechimbika. Kuna mataifa yaani kila tamko unalotoa aidha linakuongezea kura au kukushusha, ila kwetu hapa Afrika, tuko kama misukule, hata mnatukanwa na kukenua meno tu...hehehe
ndio maana trump aliita vinchi kama vya kwetu ambavyo mwajiriwa wetu anatutukana hadharani nasi kufurahi "shithole countries"😎😎😎😎😎. Mitano kwanza ni muafaka kwa sasa kuliko mitano tena. Turudishe heshima ya nchi yetu na watu wake.
 
Hata ingekuwa Kenya, angetamani dunia ipasuke aingie ndani. Angebanwa mpaka aombe radhi, la sivyo angekosa kura za wanawake wote, weupe kwa weusi. Mambo ya hovyo-hovyo kiasi hiki yanaweza kutokea TZ tu. Ujinga au sijui upole wa kijinga umefanya watawala watudharau na kuamua kujisemea chochote kinachokuja akilini mwao bila kufikiri vizuri impact yake.
Katika nchi za hovyo Africa, Kenya inaongoza, ninyi kura zenu ni kura za kikabila pekee, haiwezikani wakenya mkaungana lazima kabila lake wangemlinda

Hivi wakenya mnapata wapi nguvu za kulaani vitendo vya ubaguzi wakati Kenya kila kitu kinafanyika kwa ubaguzi wa kikabila?. Hivi hamjui kwamba tubawadharau sana kutokana na ukabila wenu?
 
Back
Top Bottom